Varius
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 644
- 503
Si mfuatiliaji sana wa siasa za Kenya lakini nadiriki kusema kuwa RAILA AMOLLO ODINGA atashinda urais mwaka huu, Uhuru Kenyatta kwisha hawezi shindana na kile kichwa ana mbinu amejipanga sana.
Jambo lingine linaloashiria kabisa kwamba RAO atashinda ni hiki chama kilichoanzishwa cha CCM yani CHAMA CHA MASHINANI.
Kama wewe ni mtu makini kabisa unaweza ona kabisa kwamba yawezekana RAILA AMOLLO ODINGA na NASA yawezekana wakawa backed up na CCM ya TANZANIA. This is my bet guys but lets wait time will tell.