Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,029
- 1,646
Tovuti ya Citizen Digital nchini humo imeendesha kura ya maoni Katika Mitandao ya Kijamii kuhusu tangazo la Rais William Ruto la Nchi hiyo kuwa 'Visa Free' kuanzia 2024 ambapo kulingana matokeo ya kura za FaceBook, X, na Instagram, takriban 72.8% walipinga uamuzi huo huku asilimia 27.2% wakiunga mkono
Wapinzani wa uamuzi huo wamedai kuwa utaleta vitisho vya Usalama kwa Nchi kwa kuwa watu wengi watakuwa wakimiminika na wahalifu wanaweza kuona kama mwanya, huku waliounga mkono hatua hiyo walisema itaimarisha uhusiano wa Kidiplomasia na Mataifa mengine ambayo yataongeza Mapato ya Nchi kutokana na wawekezaji wengi kuja nchini
Aidha, Wengine walitaka agizo hilo kuwa la kwa Bara la Afrika pekee huku wengine wakikashifu uamuzi huo kwa kukosa ushirikishwaji wa Umma badala yake wakamtaka Rais Ruto ahakikishe kwanza Mataifa mengine yanapitisha hatua hiyo ya kutokuwa na viza ili kuwapendelea Wakenya
........
Kenyans largely oppose President Ruto's visa-free announcement, poll reveals
According to the poll results posted across major social platforms including FaceBook, X, and Instagram, about 72.8 percent voted against having a visa-free nation while 27.2 percent supported it.
On X, formerly Twitter, out of the total 3,078 participants who had voted as of 4 pm, over 2200 people said the move was ill-advised and would bring more harm to the country than good.
Most people who were against the president’s decision said it would pose security threats to the country since many people would be flocking in and criminals may see it as a loophole.
Those in support of the move said it would bolster diplomatic ties with other nations which would in turn increase the country’s revenues and taxes due to more investors coming into the country.
Others called on the president to limit the Visa-Free directive to only the African continent. Some netizens however remained skeptical that Africans alone would not be an adequate target market for Kenyan products insisting the international market is still critical.
Some faulted the decision for lack of public participation instead urging the head of state to first ensure other nations adopt the visa-free move in favour of Kenyans.
Source: Citizen Digital