Raia wa tanzania tunaerekea wapi

Raia wa tanzania tunaerekea wapi

KUNGUNI 2010

Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
27
Reaction score
1
Jaman watanzania tunaelekea wap!!! mbona tunabuluzwa na selekali ya ccm sasa niwakat wetu kuonyesha msimamo wetu sisi wenyewe tumechoswa na poropogada zao.wewe mtanzania urie nauchungu na nchi yako simama imara uikombo nchi hii kwanza kabisa tunataka serekali 3 pia uchaguzi hulu miaka 50 hakuna jipya.
 
...daah hata kama elimu ya chini ya mbuyu !? ..this is too much..!.anyway pamoja kamanda tatu lazima watake wasitake,kama hawataki leo watataka kesho,tunapambana kamanda...
 
Jitahidi kurekebisha Kiswahili chako, na uwe unaandika maneno yapasavyo kutamkwa
 
Makosa yasiyo na madhara,,tutapambana tupate 3
 
Kujikomboa mwenyew umeshindwa nan atakukomboa.......maandishi ya kufuta ujinga tu yameskushinda, au mwambie aliyekusajilia jina humu jf akukomboe vzur.
 
Back
Top Bottom