Raia wa Marekani akamatwa Korea Kaskazini

Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,644
18,707
Korea Kaskazini inasema kuwa
imemkamata raia wa Marekani kwa kushukiwa kuendesha
vitendo viovu dhidi ya taifa hilo. Kim Hak-song, alikuwa akifanya kazi katika chuo cha sayansi na Teknolojia cha Pyongyang PUST na alikamatwa jana Jumamosi Raia wengine watatu wa Marekani kwa sasa wanazuiliwa nchini Korea Kaskazini akiwemo Kim Sang-duck, ambaye alikuwa mhadhiri katika chuo
cha PUST. Awali Marekani iliilaumu Korea Kaskazini kwa kuwakamata raia wake
kuwatumia kwa udhamini. Kukamatwa mtu huyo kunakuja huku kukishuhudiwa msukosuko kati ya
Korea Kaskazini na Marekani. Korea Kaskazini imetisha kufanya majaribio ya kombora la nuklia huku
Marekani nayo ikituma meli ya kivita
eneo hilo kuizuia Korea Kaskazini kuunda zana za nuklia. Kim Hak-song ndiye raia wa nne wa
Marekani kukamatwa nchini......

Source: BBC
 
Jamaa alikuwa professor akifundisha chuo fulani hapo Nk kwa muda mrefu tu. Wamuweka kizuizini..
 
Huyo Kim huyo ana mbwa wake hao wakali kama nini sijui huko mbwa ukiwapa hata super dog hawataki hata uwachinjie ng'ombe mzima hawali ila watu watu hao wamakore(marekani korea) wajiandae tu mana nasikia kiduku kawachoma multvitamin mbwa wote leo wapate appetite ya msosi
 
Hii mpya kwa kweli
 
Back
Top Bottom