EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,525
Labda lile lililotua Poland π π πDuh asee Slava Ukraine mbona naskia wametungua makombora karibu yoote?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Wameshindwa kwani wamesharudi kwao πππRussia ameshashindwa mission ya kuangusha utawala wa dogo zele,kakimbilia kuteka vimkoa vinne nako anaendelea kula za uso kwahiyo imebaki kiki ya kurusha viroketi kuharibu miundombinu na huko air defence system zikiongezwa sijui kama hatakufa pressure.
Vita mipango sio, zimbabwe hioRussia ameshashindwa mission ya kuangusha utawala wa dogo zele,kakimbilia kuteka vimkoa vinne nako anaendelea kula za uso kwahiyo imebaki kiki ya kurusha viroketi kuharibu miundombinu na huko air defence system zikiongezwa sijui kama hatakufa pressure.
Mkumbushe vita ni mbinu tuVita mipango sio, zimbabwe hio
Hukuona limsafara km 64 lilikuwa linaenda kiev kumpindua dogo zele lilivyoyeyuka mithili ya barafu wakati wa jua kali.Wameshindwa kwani wamesharudi kwao πππ
Amebadilisha strategy sasa anavurumisha makombora kyiv hadi akimbieππHukuona limsafara km 64 lilikuwa linaenda kiev kumpindua dogo zele lilivyoyeyuka mithili ya barafu wakati wa jua kali.
Hawa ndio wale wanaemaga " hakuna kupiga za chembe na usoni" πππππππUshakubali kuingia ulingoni usimpangie mwenzio sehemu za kukutandika ngumi
Sio muda vikombola vitadhibitiwa na sijui kama hatajinyonga yule mzee,maana ndicho alichobakiza,ameshindwa frontline hasira zinaishia kuvurumisha vikombora tu sasa.Amebadilisha strategy sasa anavurumisha makombora kyiv hadi akimbieππ
Endelea kuota mkuuSio muda vikombola vitadhibitiwa na sijui kama hatajinyonga yule mzee,maana ndicho alichobakiza,ameshindwa frontline hasira zinaishia kuvurumisha vikombora tu sasa.
Nae yupo gizani.Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema raia milioni 10 wa Ukraine hawana umeme baada ya mashambulio mapya ya makombora yaliyofanywa na Urusi.
Takriban watu saba waliuawa katika mashambulizi hayo, huku idadi ikitarajiwa kuongezeka.
"Tunafanya kila kitu kurekebisha usambazaji," Bw Zelensky alisema katika hotuba yake ya usiku.
Ulinzi wa anga wa Ukraine ulifanikiwa kudungua makombora sita na ndege zisizo na rubani tano, aliongeza.
Siku ya Alhamisi, Urusi iliipiga Ukraine kwa mashambulizi mapya ya kombora, na kugonga mitambo zaidi ya nishati na majengo mengine ya kiraia chini ya siku mbili baada ya moja ya mashambulizi yake makali zaidi ya mabomu kutokea tangu kuanza kwa vita hivyo.
Watu saba walikufa wakati kombora lilipogonga kizuizi cha ghorofa huko Vilnyansk, karibu na mji wa kusini wa Zaporizhzhia, ofisi ya rais wa Ukraine ilisema.
Kiwanda cha kuzalisha gesi mashariki na kiwanda cha makombora huko Dnipro vilikuwa miongoni mwa malengo ya hivi punde, maafisa wanasema.
Wale wanaokabiliwa na kukatika kwa umeme wako hasa katika mji mkuu, Kyiv, mji wa magharibi wa Vinnytsia, mji wa bandari wa Odesa kusini-magharibi na Sumy kaskazini-mashariki.
Bw Zelensky aliishutumu Urusi kwa kuharibu usambazaji wa umeme na gesi wa watu wake.
Kiongozi wa Ukraine alirudia wito wake kwa washirika wa Ukraine kutoa "ulinzi kamili wa anga ya Ukraine", akisema kuwa kufanya hivyo kutaihimiza Urusi kumaliza vita.
Moscow imeangalia kuhalalisha mashambulizi yake ya hivi majuzi kwa kuishutumu Kyiv kwa
"kutotaka" kufanya mazungumzo.
Wakati huo huo, kampuni ya nishati inayomilikiwa na serikali ya Naftogaz ilisema mitambo yake ya kuzalisha gesi mashariki mwa Ukraine imekumbwa na "shambulio kubwa".
Maafisa wa Ukraine watahadharisha 'vita havijaisha' baada ya Wanajeshi wa Urusi kuondoka Kherson
π π π π π π tanesco hawajaenda na makarabai ataganda kama ice cream za AzamNae yupo gizani.View attachment 2420429
Jamaa.muavha ataanza kutukana sasahivi π€£π€£π€£π€£Unacoment kinyoonge
Mwenye sikio na asikie akishupaza shingo atajikuta Nevada na misukule ya eliensπ½π½Unataka kulazimisha watu waangalie wapi......front zipo nyingi sio kherson peke yake...mrusi anacheza kete zake nje na ndani ya ukraine move 1 inabadili mambo ukraine na dunia nzimaView attachment 2420441
Don't take this man too seriously, after all deep down is still a seasoned clown after all.Duh asee Slava Ukraine mbona naskia wametungua makombora karibu yoote?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ukraine imeweza wapi?Russia ameshashindwa mission ya kuangusha utawala wa dogo zele,kakimbilia kuteka vimkoa vinne nako anaendelea kula za uso kwahiyo imebaki kiki ya kurusha viroketi kuharibu miundombinu na huko air defence system zikiongezwa sijui kama hatakufa pressure.
Zelenskyy hana tofauti na January alivyo muongoRais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema raia milioni 10 wa Ukraine hawana umeme baada ya mashambulio mapya ya makombora yaliyofanywa na Urusi.