Nebuchadinezzer
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,403
- 2,550
Eti laana stupidly kabisa..! Hivyo ni vya kupigwa risasi tu.Panya roads inabidi wapigwe wakamatwe ila wasiuwawe.
Kumbukeni kwa hali ilivyo nchini hawa watoto ni wakuwaonea huruma.
Wenzao wazazi wao wanawatimizia mahitaji yote muhimu, chakula, malazi na mavazi, wao wanajitegemea kwa sababu baadhi yao hawana wazazi, au maisha magumu nyumbani.
Wale ni watoto kiumri inapaswa wakamatwe wapelekwe chuo cha maisha (gerezani) wasaidiwe kisaikolojia.
Najua kwa tamko la RC wengi watauawa. Hii itasabisha laana kubwa sana kwa taifa.
Hao wasio na hatia wakifa..kuna tukio baya sana litaikuta nchi yetu.
Nawasilisha.
Unadhani ni sawa kuwakata mikono vijana wadogo (under 18) kisa ni wezi ?Upo sahihi, wasiuwawe ila wadhibitiwe ipasavyo,
Sheria ya Dini inasema Mwizi akatwe Mkono basi wangewakata mikono na kuwaacha.
Wizi kwako unaona ni jambo dogo sana, hao vijana wa under 18 unajua madhara wanayoyafanya wa jamii??Unadhani ni sawa kuwakata mikono vijana wadogo (under 18) kisa ni wezi ?
Under 18 bado ni mtoto, madhara wanayosababisha yanatokana na malezi na makuzi waliyopewa.Wizi kwako unaona ni jambo dogo sana, hao vijana wa under 18 unajua madhara wanayoyafanya wa jamii??
Ndie nyie wafadhili wao nini??