Utakubaliana na mimi kuwa katika maisha kuna wakati binadamu huwa ana kile kinachoitwa FEAR OF THE UNKNOWN,nakuapia hv niandikapo niko kijiji cha shagihilu,hawajui kinachoendelea kuhusu zito zaidi ya bei ya pamba yao kushuka
Was is...
Reeuwiiiih!!
Kamanda,watu ni wavivu sana wa kushughurisha ubongo,unamteteaje mtu anae angamiza jamii kwa uchu wa vyeo na hela?
Acha upuuzi we kiazi, hiyo ni typing error, ni sawa sawa na wewe na wewe kwenye post yako ulivyoandika neon ''Jina'' kwa kuanza na herufi kubwa ya ''J'', unataka na wewe tukuitaje?Huyu ni div 5! Hata Jina lake hawezi kuandika! "Kamnda' ndio nini?
Usiumizwe kichwa kamandaUmeshatoka msalani? usije ukawa umesahau kuchamba
Zitto nimaarufu twita tu
Was is...
Reeuwiiiih!!
Kamanda lakumshukuru
Mungu makamanda wa ukweli Mungu amewajalia hekima ya kungamua lipi jema
na lipi baya
Tusimjadili zitto
huu niukweli vijijini tusisite kuwafikia tuko pamoja kamanda chadema
tusonge mbele mungu ibariki CDM
Mtei Kasema Zitto hatakiwi
CHADEMA, sisi tunafikiria tunamtoaje wewe unasema tutawanyike tukajenge
Chama, Unachekesha sana.
Well said Mkuu ......
Ninatokea jimbo la Kigoma Kaskazini (Matyazo - Kalinzi) lakini
sikubaliani na siasa tata za Mbunge wangu. Last time nilipotembelea
kijijini kwetu watu wengi walionyesha kutomwamini mbunge wetu huyu.
Anyway,... keep going Kamanda you have all our support.
Zitto anajulikana Facebook
Piga kazi kamanda wangu
usiache kuvitembelea vijiji vya Mwamashele, Mwamanota, Mwigumbi,
Mwamadulu, Lagana(ukifika hiki kijiji utapata sapport kubwa sana..
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
Utajengaje chama wakati mwenye chama amesema hamtaki?
Kwi kwi kwi mtatoaje CCM au
Msalani? Poleni gamba lenu hiloo watu wameshalishtukia wameandaa
shoka
Huko tunaambiwa alishinda kwa asilimia 47 tu...
Inamaana nusu ya wana Kigoma ya Kaskazini hawamkubali.
When a headless temptes innocent
Why irrelevant,was is not ur motto?
Hata huko nako watamchoka