Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Yule mwenye kiburi na kejeli kwa wafanyabiashara wazawa,Hivi waziri wa disel na petrol ⛽ ni nani vile?

Tuliposema aondoe kabisa kizazi cha JK tuliyajua haya yote, samaki mmoja akioza kapu zima limeoza
Walikuwa wanapima na mwanzi ili wawavirige na kupiga diliMi nashindwa kupata jibu hivi siku zote walikua wanapima kwa kutumia nini au walikua wanakadilia
Kama ni kweli suala lilikuwa na uzito. Barua itafuata. ChillLeo Mh Magufuli amejionea mwenyewe jinsi mteule wake anavofanya kazi.
kwanza ni mtuhumiwa wa escrow
pili anafanya kaz kwa mazoea anavojisikia, unawezaje kuagiza maagizo mazito kwa Meseji? eti 24 hours suala Fulani lifanyike bila Official letter.
mh Magufuli, Fanya reshuffle ya baraza mapema, overconfidense ya watu itakuletea problems
take it sir, kaushauri ka lyman
Huyu waziri alikua anaujua uozo ulioko Bandarini. Ni kwanini amuandae huyo mtendaji mkuu wakala wa vipimo? Huyu waziri ni miongoni mwa mawaziri wanaomhujumu Rais Magufuli! Hii ni aibu kubwa kwa mtu mwenye dhamana kubwa kama waziri na hii ni kukosa uaminifu katika kazi za umma.
Hii tabia inatakiwa ikomeshwe mara moja na wengine wajifunze, Waziri mkuu anwajibishe huyu waziri aliyetuma hiyo sms! Maana idingetumwa hiyo sms pengine hali ingekutwa mbaya zaidi na Waziri mkuu kuijua hali halisi ya mazingiza haya.
Nadhani waziri mkuu mwenyewe amejionea na amesikika jinsi snavyohujumiwa na wenzake wazi wazi! sasa achukue hatua mara moja.Hizo flowmetres zingine inamaana isingetumwa sms zote zingekutwa zimegandiana kutu hapo.
Uwaziri mtamu sana rais alimuagiza aandike barua ya kujiuzuru kama hataki hilo lifanyike ...wala hakuoneka....kuanza kutafuta kalamu na karatasi....Kuna mwingine alimletea kibezi Magufuli wakati wa sakata la kuhamisha Accounts za taasisi za serikali BOT ,Sijui ni waziri gani ,
Huyu waziri alikua anaujua uozo ulioko Bandarini. Ni kwanini amuandae huyo mtendaji mkuu wakala wa vipimo? Huyu waziri ni miongoni mwa mawaziri wanaomhujumu Rais Magufuli! Hii ni aibu kubwa kwa mtu mwenye dhamana kubwa kama waziri na hii ni kukosa uaminifu katika kazi za umma.
Hii tabia inatakiwa ikomeshwe mara moja na wengine wajifunze, Waziri mkuu anwajibishe huyu waziri aliyetuma hiyo sms! Maana idingetumwa hiyo sms pengine hali ingekutwa mbaya zaidi na Waziri mkuu kuijua hali halisi ya mazingiza haya.
Nadhani waziri mkuu mwenyewe amejionea na amesikika jinsi snavyohujumiwa na wenzake wazi wazi! sasa achukue hatua mara moja.Hizo flowmetres zingine inamaana isingetumwa sms zote zingekutwa zimegandiana kutu hapo.
ikuaje kuhusu KOJ?Atakuwa ni huyo wa kwanza, kuna figusu ilitokeaga wakati wake kuhusu KOJ.
Mkuu hawawezi kumwajibisha kwa maana italeta picha mbaya kwa Rais aliyewateua Hao mawaziri,ataonekana ni mkurupukaji hivyo hilo swala unaweza usilisikie tenaHuyu waziri alikua anaujua uozo ulioko Bandarini. Ni kwanini amuandae huyo mtendaji mkuu wakala wa vipimo? Huyu waziri ni miongoni mwa mawaziri wanaomhujumu Rais Magufuli! Hii ni aibu kubwa kwa mtu mwenye dhamana kubwa kama waziri na hii ni kukosa uaminifu katika kazi za umma.
Hii tabia inatakiwa ikomeshwe mara moja na wengine wajifunze, Waziri mkuu anwajibishe huyu waziri aliyetuma hiyo sms! Maana idingetumwa hiyo sms pengine hali ingekutwa mbaya zaidi na Waziri mkuu kuijua hali halisi ya mazingiza haya.
Nadhani waziri mkuu mwenyewe amejionea na amesikika jinsi snavyohujumiwa na wenzake wazi wazi! sasa achukue hatua mara moja.Hizo flowmetres zingine inamaana isingetumwa sms zote zingekutwa zimegandiana kutu hapo.
Ningependa kujua ni Waziri gani ,halafu Magufuli kwake a spade is a spade ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri ila kasema hadharani kabisa kuna waziri alitaka kutofautiana nae ,sidhani kama pia kulikua na ulazima wa kusema hayo kwetuUwaziri mtamu sana rais alimuagiza aandike barua ya kujiuzuru kama hataki hilo lifanyike ...wala hakuoneka....kuanza kutafuta kalamu na karatasi....
YULE MAMA KAMTAJA PROF.MHONGO ,HAKUNA CHA KUFICHA HAPO!Huyu waziri alikua anaujua uozo ulioko Bandarini. Ni kwanini amuandae huyo mtendaji mkuu wakala wa vipimo? Huyu waziri ni miongoni mwa mawaziri wanaomhujumu Rais Magufuli! Hii ni aibu kubwa kwa mtu mwenye dhamana kubwa kama waziri na hii ni kukosa uaminifu katika kazi za umma.
Hii tabia inatakiwa ikomeshwe mara moja na wengine wajifunze, Waziri mkuu anwajibishe huyu waziri aliyetuma hiyo sms! Maana idingetumwa hiyo sms pengine hali ingekutwa mbaya zaidi na Waziri mkuu kuijua hali halisi ya mazingiza haya.
Nadhani waziri mkuu mwenyewe amejionea na amesikika jinsi snavyohujumiwa na wenzake wazi wazi! sasa achukue hatua mara moja.Hizo flowmetres zingine inamaana isingetumwa sms zote zingekutwa zimegandiana kutu hapo.
Ni wazir gani huyo alomwekea kigingi magu mkuu naomba mtujuzeUwaziri mtamu sana rais alimuagiza aandike barua ya kujiuzuru kama hataki hilo lifanyike ...wala hakuoneka....kuanza kutafuta kalamu na karatasi....
Mkuu kulikuwa na umuhimu ili atakapochukulia mawaziri 'watukutu' hatua kali wananchi wajue kabisa kuwa rais hawaonei mawaziri wake.Ningependa kujua ni Waziri gani ,halafu Magufuli kwake a spade is a spade ni mwenyekiti wa baraza la mawaziri ila kasema hadharani kabisa kuna waziri alitaka kutofautiana nae ,sidhani kama pia kulikua na ulazima wa kusema hayo kwetu
Mi nashindwa kupata jibu hivi siku zote walikua wanapima kwa kutumia nini au walikua wanakadilia