Naomba kutoa Rai kwa Mamlaka Hizi mbili na kwa Naibu waziri Anayesimamia Mazingira MH.Luhaga Mpina kulipa faini ya sh.Ml20 kutokana na kuchafua mazingira kwa namna ambavyo wanateketeza Vyakula na Vipodozi vyenye viambata vya sumu.
Wote tumekua mashahidi namna ambavyo uteketezaji unafanyika kwa kuchomwa moto hadharani na wakati mwingine kusagwa sagwa ardhini kwa kutumia magari .Hii Hili ni kinyume cha she ria ambayo inaelekeza namna ya uteketezaji Wa takataka zenye sumu.
Mh Luhaga amekua mstari Wa mbele kutoza faini kwa taasisi mbalimbali name makampuni huku akifumbia macho idara hizi namtaka mh aziagize taasisi hizi kulipa faini ya sh 20ml kabla ya wiki mbili kama sheria inavyo agiza na kwa kuwa Nemc ndiyo inayotakiwa kukusanya faini hii naiagiza nemc ikarabati miundo mbinu ya shule ya walemavu Yombo DSM na TFDA ipeleke mafuta maalum kwa ajili ya walemavu Wa Ngozi Albino Walioko Katika while hiyo Ya Yombo DSM.