Inakubidi upende, upendwe pia, na mahusiano yenu yawe kwenye misingi inayoeleweka. Kama ni kuoana ijulikane. Kama anajiweza anahitaji akuzalie mtoto - ieleweke, kama ni kuwa washirika kwenye biashara; ieleweke; kama ni mambo ya kujirusha viwanja - huo ni upuuzi tu.
yatakapofikia mapenzi; maudhi yatakuwa zaidi ya hapo - mweleze huyu jamaa yetu yasije mkuta akaja analialia hapa. Tunayemwambia hivyo tuna uzoefu ndo maana hatushabikii tena kitu mapenzi. Binafsi niliwahi kushindwa hata kufanya kazi, nikaptea hata kwa washkaji zangu wa karibu; walininyamazia kimya wakijua ni maji ya moto - yatapoa tu, yalivyopoa nilijiona kama nilokuwa nimelogwa. CHEZEA MALOVEE WEWE!