Anita Kajembe
JF-Expert Member
- Jun 29, 2021
- 215
- 487
Dar kwa vyakula noma sanaDar es Salaam ni mji wenye mchanganyiko wa makabila, kutokana na shughuli za kibiashara za mji huu na mengineyo. Dar unaweza kupata chakula cha aina yeyote unachokijua duniani.
Kuna migahawa ya Wanigeria, huko konono wa kukaanga ni deli-case.
Kuna migahawa ya watu wa Kusini, huko samaki nchanga aliyenona anaanzia sh 5,000.
Kuna pilau tamu hasa sehemu za Magomeni, bila kusahu urojo Kigamboni.
Ugali wa mhogo na mlenda unapata mjini Dar sijasahau kitimoto na mtori.
Uzuri wa Dar es Salaam, chakula ni nadra kubaki kwenye mgahawa. Una uhakika wa kupata chakula fresh mara nyingi kwenye migahawa.
Wangine matunda kama fenesi wamekula Dar, huko kwao hawayafahamu.Na kuna matunda mwaka mzima haijalishi ni msimu gani, matunda ya kila aina mpaka mengine unajiuliza ni manini hayaa.
Aiseee ama kweli penye wengu pana mengi.
MbagalaAnita wapi nitapata samaki nchanga kwa Dar?
Nipe direction asee. Nina muda sana sijatupia hii kituMbagala
Kabisa mkuuWangine matunda kama fenesi wamekula Dar, huko kwao hawayafahamu.
Utakuwa Mruri pure wewe!! tena wa kuleee Bwai kwitururu kabisa!! hukoo mwisho wa nchi!! BUsi pekee la abiria kufika huko ni lile la Dedani!!!au tumaini bus service ila nasikia kafilisika huyu mzee!Shida ya dar ndo ivo tena unapiga kamoko unalala ila nikirudi mkoani nakula ugali wa mahindi ulichanganywa udaga la mwidebe na sangara wa kuchemsha chuku chuku napiga show ya muda mrefu raundi za kutosha.
Dar ni sehemu pekee unaweza kula kimasihara bila tatzo loloteDar es Salaam ni mji wenye mchanganyiko wa makabila, kutokana na shughuli za kibiashara za mji huu na mengineyo. Dar unaweza kupata chakula cha aina yeyote unachokijua duniani.
Kuna migahawa ya Wanigeria, huko konono wa kukaanga ni deli-case.
Kuna migahawa ya watu wa Kusini, huko samaki nchanga aliyenona anaanzia sh 5,000.
Kuna pilau tamu hasa sehemu za Magomeni, bila kusahu urojo Kigamboni.
Ugali wa mhogo na mlenda unapata mjini Dar sijasahau kitimoto na mtori.
Uzuri wa Dar es Salaam, chakula ni nadra kubaki kwenye mgahawa. Una uhakika wa kupata chakula fresh mara nyingi kwenye migahawa.
Chanzo /source /ushahidiNa mashoga karbu wote wanapatikana dar