Raha ya wanawake "vibonge" inatoka wapi?

Raha ya wanawake "vibonge" inatoka wapi?

elvis richard

Senior Member
Joined
Dec 6, 2014
Posts
195
Reaction score
208
Kwanza kabisa naomba kuwauliza wanaume wenzangu, hivi raha ya vibonge iko wapi au labda niliokutana nao mimi watakuwa na kasoro zao tu kama binadamu wengine...

Vibonge wengi mazingira ya usafi wa mwili kiukweli wanafeli!!! Imebidi tu niwe muwazi kuna viharufu flani hivi unakutana navyo mara tu akivua suruali yake akamlizia na "Tait" yake ya pinki.

Ukiomba kiss sasa hata kama una hamu vip ile harufu utafikiri ndo mnaamka six in the morning na mlilalia togwa.

Hawa viumbe wana shida gani kwani miili yao au ni vibonge wa huku mikoani tu?

MI NARUDI SOKONI TU NA SAFARI HII KINA VAN ESS@ MDII NDO chaguo langu la kwanza .....
 
Uchafu ama usafi wa mtu ni yeye tu...hakuna cha mnene wala mwembamba

Mi nakushauri kama wanene umeona mmeshindwana katika usafi jaribu kwa wembamba...ukishindwa hamia jinsia ya tatu manake wale huwa wanajitahidi
 
Jinsia ya tatu ndo kina nani hao ...au ni wale wanawake wenye mikia mbele ??
Huko usijaribu hata kuzungumzia utanitapisha bure nimetoka kula wali rosti sasa hivi tu......
Uchafu ama usafi wa mtu ni yeye tu...hakuna cha mnene wala mwembamba

Mi nakushauri kama wanene umeona mmeshindwana katika usafi jaribu kwa wembamba...ukishindwa hamia jinsia ya tatu manake wale huwa wanajitahidi
 
Nazungumzia wanene in general acha na Yale mafiga ya kuchongwa utafikiri katuni za baba ubaya
Mabonge watam sana ila labda nimekosea tafsili manake wale wenye msambwanda wananoga sana kwenye chuma mboga
 
Uchafu ama usafi wa mtu ni yeye tu...hakuna cha mnene wala mwembamba

Mi nakushauri kama wanene umeona mmeshindwana katika usafi jaribu kwa wembamba...ukishindwa hamia jinsia ya tatu manake wale huwa wanajitahidi
😀😀😀Jinsia ya tatu ipi Joanah?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom