Raha ya ubatizo maji mengi

uwiii halafu hapo bado akae kwa dk kama 5 hivi chini ya maji..makanisa mengine wana visima vya.kubatizia..au huyu aliona yupo mto Jordan nini? huo utakua mtaro ama korongo..akitoka hapo homa ya matumbo inamngoja..lazima pastor.amtapishe maji la sivyo duuu..sisemi zaid...
 
ni kweli mkuu lakin hapa tunaijadili picha na uzuri miguu imeonekana just nimefananisha tu hiyo miguu. 'niliwahi soma PHOTOGRAPHY INTERPRETATION nimetumia hii knowledge' samahan kama umekwazika.

Peleka ujinga wako huko.
 
Hawa ni wale wanaojidai wameokoka kuliko YESU...Nini huko kuzamishana kwenye maji machafu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…