Raha ya samaki umle pande zote

duuuu ulikuwa jela nini hata kichwa na punje ya mkaa hakuna
 
Kwahiyo umeshindwa kutafuna mifupa?
Kweli wewe si mlaji mzuri wa samaki.

Hongera yako kiongozi
 
wewe unaona umemaliza wakati wenzio apo wanamalizia na ugali na kushiba kabisa
 
Umekula kishua mkuu... Samak wa kukaanga nikila hukuti hata mwiba mmoja yote tunatafuna..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…