gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 Jun 18, 2012 #1 Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima. haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini? je ni mchezo wa matusi tu, au ni kuish na mtu umpendaye tu au ni kuwa na familia tu au ni nini? hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.
Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima. haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini? je ni mchezo wa matusi tu, au ni kuish na mtu umpendaye tu au ni kuwa na familia tu au ni nini? hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa.
Tausi Mzalendo JF-Expert Member Joined May 23, 2010 Posts 1,470 Reaction score 722 Jun 18, 2012 #2 Kukamilishana kwa kila namna. COMPANIONSHIP, LOVE, CARE AND SUPPORT,ATTENTION,ASSISTANCESHIP,SECURITY...............................
Kukamilishana kwa kila namna. COMPANIONSHIP, LOVE, CARE AND SUPPORT,ATTENTION,ASSISTANCESHIP,SECURITY...............................
Maarifa JF-Expert Member Joined Nov 23, 2006 Posts 4,568 Reaction score 2,924 Jun 18, 2012 #3 mchezo wa matusi ndo upi? je mwili mmoja wanatukanana halafu iwe tamu ya ndoa??
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 Jun 18, 2012 Thread starter #4 Tausi Mzalendo said: Kukamilishana kwa kila namna. COMPANIONSHIP, LOVE, CARE AND SUPPORT,ATTENTION,ASSISTANCESHIP,SECURITY............................... Click to expand... mkuu hapo napo sikupati vizuri kwani kama hupati hivi ndoa huwa haina raha? mbona kama care hata kwenu ulipata au security?
Tausi Mzalendo said: Kukamilishana kwa kila namna. COMPANIONSHIP, LOVE, CARE AND SUPPORT,ATTENTION,ASSISTANCESHIP,SECURITY............................... Click to expand... mkuu hapo napo sikupati vizuri kwani kama hupati hivi ndoa huwa haina raha? mbona kama care hata kwenu ulipata au security?
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 Jun 18, 2012 Thread starter #5 Maarifa said: mchezo wa matusi ndo upi? je mwili mmoja wanatukanana halafu iwe tamu ya ndoa?? Click to expand... sisi zilipendwa hatukuambiwa kuwa inaitwa kufanya mapenzi bali tuliambiwa inaitwa "mchezo wa matusi" huwa unanoga pia mkiwa wawili kama mmoja
Maarifa said: mchezo wa matusi ndo upi? je mwili mmoja wanatukanana halafu iwe tamu ya ndoa?? Click to expand... sisi zilipendwa hatukuambiwa kuwa inaitwa kufanya mapenzi bali tuliambiwa inaitwa "mchezo wa matusi" huwa unanoga pia mkiwa wawili kama mmoja
Meritta JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 1,303 Reaction score 295 Jun 18, 2012 #6 gfsonwin said: Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima. haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini? je ni mchezo wa matusi tu, au ni kuish na mtu umpendaye tu au ni kuwa na familia tu au ni nini? hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa. Click to expand... MI nahisi ivyo vyote hapo juu vinaweza kuleta raha ya ndo kwa kutegemeana
gfsonwin said: Wana mmu polen kwa kazi za kutwa nzima. haya jamani hebu tuelezane raha ya ndoa ni nini? je ni mchezo wa matusi tu, au ni kuish na mtu umpendaye tu au ni kuwa na familia tu au ni nini? hebu tudadavue jamani, manake nashindwa kujua nini hasa raha ya ndoa. Click to expand... MI nahisi ivyo vyote hapo juu vinaweza kuleta raha ya ndo kwa kutegemeana
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 Jun 18, 2012 Thread starter #7 Meritta said: MI nahisi ivyo vyote hapo juu vinaweza kuleta raha ya ndo kwa kutegemeana Click to expand... Meritta bi dada kwa kutegemeana kivipi? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Meritta said: MI nahisi ivyo vyote hapo juu vinaweza kuleta raha ya ndo kwa kutegemeana Click to expand... Meritta bi dada kwa kutegemeana kivipi?
Meritta JF-Expert Member Joined Apr 26, 2011 Posts 1,303 Reaction score 295 Jun 18, 2012 #8 gfsonwin said: Meritta bi dada kwa kutegemeana kivipi? Click to expand... yaan kukiwa na ivyo vitu na raha ya ndoa unaiona, sio kufanya matusi peke yake
gfsonwin said: Meritta bi dada kwa kutegemeana kivipi? Click to expand... yaan kukiwa na ivyo vitu na raha ya ndoa unaiona, sio kufanya matusi peke yake
Kaizer Platinum Member Joined Sep 16, 2008 Posts 25,330 Reaction score 17,857 Jun 18, 2012 #9 gfsonwin ndoa ni package jamani Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Tausi Mzalendo JF-Expert Member Joined May 23, 2010 Posts 1,470 Reaction score 722 Jun 18, 2012 #10 SAHIHISHO: Kwenye ndoa watu hawafanyi matusi bali hufanya tendo la ndoa!
Litty Member Joined Jun 14, 2012 Posts 40 Reaction score 28 Jun 18, 2012 #11 Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu.
Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu.
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 Jun 18, 2012 Thread starter #12 Kaizer said: gfsonwin ndoa ni package jamani Click to expand... nimekugongea like ili useme vizuri ni package ya nini au ya vitu gani?
Kaizer said: gfsonwin ndoa ni package jamani Click to expand... nimekugongea like ili useme vizuri ni package ya nini au ya vitu gani?
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 Jun 18, 2012 Thread starter #13 Litty said: Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu. Click to expand... basi kumbe kwako wewe Litty raha ya ndo ani watoto. good nimeipenda hii Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Litty said: Sijaona raha yoyote ya ndoa zaidi ya kufurahia watoto wangu. Mengine yote kwangu hakuna cha raha wala nini! Kawaida tu. Click to expand... basi kumbe kwako wewe Litty raha ya ndo ani watoto. good nimeipenda hii
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 Jun 18, 2012 Thread starter #14 Tausi Mzalendo said: SAHIHISHO: Kwenye ndoa watu hawafanyi matusi bali hufanya tendo la ndoa! Click to expand... nashukuru sana kwa kunaisahihisha but makuzi ya zamani tulikaririshwa hivyo
Tausi Mzalendo said: SAHIHISHO: Kwenye ndoa watu hawafanyi matusi bali hufanya tendo la ndoa! Click to expand... nashukuru sana kwa kunaisahihisha but makuzi ya zamani tulikaririshwa hivyo
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Jun 19, 2012 #15 Rudi kwenye maandiko utajua kwanini watu wanaoana!"........Kwa sababu ya tamaa ya mwili kila mtu awe na mke wake mwenyewe......."
Rudi kwenye maandiko utajua kwanini watu wanaoana!"........Kwa sababu ya tamaa ya mwili kila mtu awe na mke wake mwenyewe......."
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,914 Jun 19, 2012 #16 Tausi Mzalendo said: SAHIHISHO: Kwenye ndoa watu hawafanyi matusi bali hufanya tendo la ndoa! Click to expand... Matusi ni nini?. . . . . . .
Tausi Mzalendo said: SAHIHISHO: Kwenye ndoa watu hawafanyi matusi bali hufanya tendo la ndoa! Click to expand... Matusi ni nini?. . . . . . .
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,612 Jun 19, 2012 #17 raha ya ndoa ni pale uko na mtu na u feel 'home'... na asipokuwepo u feel 'something is missing'...
MwalimuZawadi JF-Expert Member Joined Sep 1, 2007 Posts 643 Reaction score 69 Jun 19, 2012 #18 ....sijajua bado....
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,881 Jun 19, 2012 #19 Haya ndiyo tunayaaiita multiple choice questions. Ni mazuri kwa kwa wanafunzi wa primary na sekondari.
Haya ndiyo tunayaaiita multiple choice questions. Ni mazuri kwa kwa wanafunzi wa primary na sekondari.
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,681 Jun 19, 2012 #20 kuuliza raha ya ndoa bila kujua wajibu ndani ya ndoa could be unfair