Raha ya ndoa mmoja asafiri...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,356
"Kama mwezi hivi.... Siku akirudi mnakuwa wapyaaaa"
haya maneno yaliongelewa tea room na watu wenye miongo katika ndoa zao. Mi nikasema dah!!!!....
 
Asikuambie mtu!
Kipindi cha kuwa mpweke ni kigumu sana na chenye majaribu na mitihani mingi sana.
Tuko we una muda gani (kwenye ndoa)? Nivea je?
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu na mtazamo wake kwangu kila siku ni mpya

Wewe kama unaongea ukweli basi una matatizo, mama yangu mwenyewe nikikaa naye niko likizo lazima tukwazane hapa na pale ije kuwa rafiki?
 
Hiyo ni kuonyesha ni jinsi gani ndoa zilivyopasua kichwa, mmoja akiwa safarini, aliyebaki home anakuwa kapumzika na makelele ya ndoa, atakaporudi mwenzake si rahisi makelele yatokee siku ya kwanza, hapo ndipo wanapojiona wapya. Ndoa! Ni balaa tupu!
 
Kinachotokea kiukweli mara kadhaa kinatokana na kila mmoja kuwa amem-miss mwenzake.
 
zile gonjwa litaisha kweli? hata kama dawa ikigundulia
 
Hiyo ni kuonyesha ni jinsi gani ndoa zilivyopasua kichwa, mmoja akiwa safarini, aliyebaki home anakuwa kapumzika na makelele ya ndoa, atakaporudi mwenzake si rahisi makelele yatokee siku ya kwanza, hapo ndipo wanapojiona wapya. Ndoa! Ni balaa tupu!
Ndoa balaa tupu eeeeh LIMEKUGANDA hilo mkuu....................................
 
Sasa hapo kwenye mitihani ndo tunapopataka ili upate relief ya kuwa na mmoja

Lastname, nimekusoma na nimekuelewa, ila 'relief' inabidi iletwe na wa halali, kama hajakuwepo inabidi kukaza roho.
 
wewe kama unaongea ukweli basi una matatizo, mama yangu mwenyewe nikikaa naye niko likizo lazima tukwazane hapa na pale ije kuwa rafiki?
pole sana hujui maana ya ndoa wewe ushaaminishwa ni mafarakano baaas .kwangu kila siku ni mpya na ni mgeni hahahaha pole yako
NJOOO CHUKUA SABATICAL LEAVE KWANGU HUTATAMANI KUONDOKA ,U WILL STAY WONDERS.MAISHA YENYEWE MAFUPI HAYA YA NINI KUKWAZANA?CHUKUA PRINCIPAL HII IILEAVE LIKE A KID INCREASE YOUR LIFE SPAN''
 
Mi hajawah kusafiri na mimi pia sijawahi, so sijui inakuwaje...
 
Kila mtu na mtazamo wake kwangu kila siku ni mpya

Nivea una muda gani kwenye ndoa? hichi kilichoandikwa hapa ni ukweli usio na chenga. Wazoefu wa relationships pia wanasema kupeana nafasi kunasaidia kuimairisha uhusiano. Kwa mtazamo wangu angalizo tu hapa ni msiwe na nyumba ndogo, maana utatoa nafasi kwa nyumba ndogo kupata huduma kamilifu.
 
"Kama mwezi hivi.... Siku akirudi mnakuwa wapyaaaa"
haya maneno yaliongelewa tea room na watu wenye miongo katika ndoa zao. Mi nikasema dah!!!!....

Raha ya ndoa wote msafiri muende visiwa vya usheli sheli kama mwezi hivi bila kuangalia kuyumba kwa budget; mkirudi kama mmetoka honeymoon vile!
 
Bra-joe, baadhi ya ndoa ni pasua kichwa na baadhi ya ndoa ni balaa tupu, si zote.
 
Last edited by a moderator:
Ndoa balaa tupu eeeeh LIMEKUGANDA hilo mkuu....................................

wewe! Mimi ni mtu ninayejifunza kutokana na makosa ya watu wengine. Usidhani nipo ndani ya ndoa.
 
Bra-joe, baadhi ya ndoa ni pasua kichwa na baadhi ya ndoa ni balaa tupu, si zote.

kuna usemi usemao "hakuna ndoa isiyo na matatizo" hii unasemaje? Kama unakili basi ndoa zote hazijatulia.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…