Raha ya Nazi Bwana jua Matumizi yake

Hii ni kwa watu wa pwani atiii.......sisi wakina yero twaambulia sufuri hapa.
 
Ustadi wake wa machicha kung'arisha ngozi.

Utaufahamu vizuri ulimbwende wa mwali wako pale anapotoka ndani ile siku ya saba, maana anakuwa amesafishwa khasa na bibi yake na wajuzi wengine.

Lakini, khasa ni pale unapotakiwa kuwa mwangalifu unapoikuna nazi maana ukienda sana ndani unaanza kuharibu machicha maana unakwangua kingo, hivyo utaharibu ladha ya chakula.

Kwahio kwa akina dada mshiko wa nazi unapoingiza kwenye mbuzi unahitajika uangalifu.

Binti shangazi naona wameacha sana hii ya kufundisha namna ya kukuna nazi.
 
Back
Top Bottom