Raha ya milele umpe ee Bwana...apumzike kwa amani.

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Nasikitika kutangaza msiba wa kipenzi changu Mwaka 2010. Marehemu kaacha madeni kibao. Kama kuna mtu anadaiwa na marehemu naomba anijulishe. Kikao cha wana ndugu kitakutana tarehe 15 Januari 2011 kujadili mustakabali wa familia.

Raha ya milele umpe ee Bwana, na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani.

Amina.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom