Raha ya mapenzi

Kwani akikuzidi miaka inakuwa haiingii? Tuanzie hapo kwanza.
 
Mbona kichwa Cha habari hakiendani na habari yenyewe mzee??

Ok ila Mimi nadhani hakuna tatizo. Kikubwa hakikisha mnapendana kwa dhati. Yasije yakakukuta Kama yangu.

Ntakuonea huruma
Pole..yapi yalokukuta if u don't mind sharing?
 
Mwanamke inabidi umzidi umri mkubwa tuu. Yaani akifikia umri mkubwa kuanzia 40s wewe bado damu inachemka yeye menopause inakuwa imekata. Hapo hana hamu ya mapenzi tena. Itakulaximu utafute mtoto mwingine. Wewe kipindi hicho Una 38 years .
 
Mapenzi hayana umri chamsingi ni kuheshimiana na kushare interest basi
 
Kwani mkiwa mnakukuruka mtakuwa mnaulizana umri? Hapo kuheshimiana kuna watu wamewazidi umri wake zao lakini wanashimdwa kuwatimizia haja zao
 
Hata aliekuzidi 10 hamna tatizo mkuu. Cha muhimu upendo, amani na furaha
 
Hakuna tatizo wengine wanapishana hadi miaka 10 na kuendelea kinachotakiwa ni mapenzi ya dhati.
 
Nilimkojozaga mmoja HIVi. Kumbe bwana alikuwa hajawahi kukojoa. Duuh aliniganda kinoma noma halafu Sasa alikuwa na mume.


Duh nkaona nimuepuke nisije nikajakufumuliwa kijambio changu. Nashukuru kwa Sasa yupo mbali nami
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ukafumuliwa kijambio chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…