Raha ya mapenzi umpate anayekupenda

Raha ya mapenzi umpate anayekupenda

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
16,997
Reaction score
23,639
Binafsi nina relationship na msichana mmoja honest ananipenda na mimi ninampenda. Ni msichana anayenijali sana yeye kidogo ameanza teyari maisha na pia ana kazi na amepanga kabisa, kwa upande wangu me nipo mwaka wa mwisho chuo na kiumri tumepishana mwaka mmoja yeye ana 25 me Nina 24.

The way ninavyompenda Hakuna mfano Kuna siku moja nilipanda tenda na rafiki ya kupiga laki 5 kwa siku moja na ilikuwa jumamosi na tukapangiana Hadi muda wakukutana maana yeye ndo anajua mchongo mzima me sijui chochote muda so mrefu mpenzi akanipigia simu na kunitaarifu anaumwa Sana so ikabidi hiyo issue niachane na hii tenda kwanza niende kwa mpenzi nikajue afya yake anapokaa Ni mbali Sana na sehemu ambayo rafiki yangu aliniomba tukutane kwa ajili ya hiyo tenda.

Nikafika kwa mpenzi wangu nikamkuta hana ugonjwa wowote alikuwa ananitania ili mradi nikae nae pale home kwake kiukwel iliniuma kiasi fulani kwasababu tenda nilishaipoteza teyali mpaka nikamwambia demu wangu Leo nilikuwa naenda kupiga pesa nzuri Sana ila kwa upuuzi ulionifanyia nimepoteza akaniuliza yeye na hiyo pesa yupi mwenye thamani kwako?

Nikamjibu Ni wewe mpenzi basi hiyo issue tumeimaliza alafu alikuwa ameniandalia pale mapochopocho ya kumwaga akanipigia na makisi na kunipa maneno matamu na suala la maumivu ya tenda likaisha hapo hapo.

Nakumbuka, huyu demu ana ugonjwa anakuwa nao unamtokeaga kwa vipindi fulani siku hiyo akaniomba niende kwake nikaenda na alikuwa anaumwa niende ijumaa kwanza na sikuwahi kulala hapo kwake ila siku hiyo ikabidi nifanye hivyo nikampeleka hospital tukapewa dawa nikamwambie Kwa Hali hii usipike na kiukwel nilikuwa namfulia nguo zake tunacheki movie wote nakumbuka nikakaa nae mpaka j'3 siku hiyo sikuenda chuo kabisa kwa ajili yake.

Kwanini nilikuwa nampenda Sana
1.Demu alikuwa hana tamaa na hela hata masuala yakutoana out sometime nilikuwa namtoa me sometime alikuwa ananitoa yeye sio Kama wengi wasikuizi wanataka kila kitu ufanye mwanaume.

2.Ana nipenda Sana,Kuna wengine humu hata kupigwa kisi tu na mtu wake unaweza kukuta alipigwa miaka 4 au 5 iliyopita kwa upande nikikutana tu hasa eneo halina watu lazima nipigwe kiss ukiachana na mambo mengine mambo matamu tamu nayopewa.

NB: Hasikuambie kitu Raha ya mapenzi Ni kuwa na mtu anayekupenda na yeye akupende tofauti na hapo utakuwa una toa hela nyingi kwa mwanamke lakini Hilo pesa unazotoa azireflect mapenzi anayokupa.
 
huo ugonjwa utakuwa kichaa ndio hauponi
 
Dah utoto unaraha sana, yaani uache pesa ajili ya kiss tu?
 
Utoto mwingi sana, hasa pale unapofikia kuiacha pesa kwa ajili ya mambo ya kipuuzi.

Ushauri; kamwe usimuache pesa aende zake kisa ukapigwe makiss 😂😂😂
😄😄
 
Write your reply...SIKU NYENGINE USIACHE KAZI KWA MAMBO YA KIJINGA KAMA HAYO HESHIMA YETU VIDUME WALETI IWE IMETUNA MI NDO NAKUCHANA MZAZI UNAYUMBA .


UKIWA NA WALETI ILIYOJAA BURUDANI SANA HAYA MAVITU HAYAKUONDESHI NAKULA NINAETAKA NAPIGA CHINI ,UKILETA FYOKO FYOKO NAPIGA CHINI NIKIKUPENDA BASI TUTADUMU MWAKA TOFAUT NA HAPO NAPIGA CHINI .

KWA WEWE UNAJIKUTA SHARUK KHAN KIBABU MAPENZI SAKA NOTI PESA ZINA MUDA WAKE NA MAPENZ PIA USIYAENDEKEZE SANA.HONGERA SANA KWA MAPENZ YENU MKUU


NB: KINGA MUHIMU
 
Write your reply...SIKU NYENGINE USIACHE KAZI KWA MAMBO YA KIJINGA KAMA HAYO HESHIMA YETU VIDUME WALETI IWE IMETUNA MI NDO NAKUCHANA MZAZI UNAYUMBA .


UKIWA NA WALETI ILIYOJAA BURUDANI SANA HAYA MAVITU HAYAKUONDESHI NAKULA NINAETAKA NAPIGA CHINI ,UKILETA FYOKO FYOKO NAPIGA CHINI NIKIKUPENDA BASI TUTADUMU MWAKA TOFAUT NA HAPO NAPIGA CHINI .

KWA WEWE UNAJIKUTA SHARUK KHAN KIBABU MAPENZI SAKA NOTI PESA ZINA MUDA WAKE NA MAPENZ PIA USIYAENDEKEZE SANA.HONGERA SANA KWA MAPENZ YENU MKUU


NB: KINGA MUHIMU
mmk anakwamisha Sana jamaa
 
Utoto mwingi sana, hasa pale unapofikia kuiacha pesa kwa ajili ya mambo ya kipuuzi.

Ushauri; kamwe usimuache pesa aende zake kisa ukapigwe makiss 😂😂😂
Hata wale wa education is better than money saiv wanaelewa kipi is better
 
Wait till reality kicks in, then you'll understand why love is ecstatic.
 
Hongera Sana Mkuu ila usilewe sana coz shits May happen anytime, You must be Ready


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom