Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

Raha ya mapenzi uingie mzimamzima!

Unavyotoka mzima mzima uje utupe pia mrejesho mkuu.mana umeshatupa uzi wa kuingia tayar
 
Atakuja na uzi wake wakusema wanawake sio watu sijui walipewa code na shetani
Kumbe yeye mwenywe ni mwanakulitafuta
Wanawake ni viumbe watamu ukijua kuwatumia halafu hisia za mapenzi usipojua kuziendesha utaumia wewe! Namaana utamu na uchungu wa mapenzi ni wewe mwenyewe chagua moja.

Mapenzi yalivyo matamu siwezi ingia nusunusu lazima nizame mazima😋
 
Hapo umetumia BUSARA , ukitumia HEKIMA Mapenzini unawekeza kucha na nywele tu, hata vikikatwa vitaota tena. Moyo haujawahi kuwa na spea. Utatapika firigisi bure

mkuu firigisi jaman
 
Back
Top Bottom