Mbona kama unajitetea vile? Anyway, kuna jamaa aliwahi kusema "kama unatoswa jiulize, ni ubaya ama ufukara?".
Na CHAPUTA pia haupo???Mkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi
Mwanaume unajisifia uhandsome? Alafu unaponda sketi? Nikiunganisha dot napata mashakaMkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi

Unakuwa single halafu huna ishu ya kukufanya uwe bize ni majanga.
Ila mbona kama unajitetea au unapigwa sana vibuti ukaona uje kujifaraji JF
Hmmmm! I wonder why?Mkuu cjawahi kuumizwa na mwanamke,na huwa niko bize na kazi vibaya sana,nafanya kazi masaa kumi na 13 ,home narudi saa mbili hadi saa tatu.nikichelewa naingia saa 4 na kuamka saa 11 asubuhi.na mimi ni bonge la mwanaume na mumgu kanijalia uhandsome.ila mimi cyo mtu wa sketi