Gari Moshi
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 682
- 421
halaf inaelekea ni mupya hajaizoea
Mambo ya kitoto hayo...
Hizo za chini ya miaka 20, nakumbuka enzi hizo unamtongoza binti, yeye anainama chini huku anakula kucha au anachuma majani na kuyachezea, huku akitoa harufu fulani ya kikwapa.
Siku hizi ukiwa unatongoza mwanamke jicho kodo kodo uso kwa uso na mwanaume, usipokuwa jasiri unaweza kuinamisha kichwa chini, yaani hawana aibu kabisaaa!
ivi ukimsalimia mtu shikamoo akajibu- unataka kuninyima nn huwa ana maana gan?
Unamzeesha wakati ni saizi moja ,nakama kumnyima ,jamani mnajitoa akili kabisa hamuelewi unachoweza kumnyima mbona inaelekea ushamuelewa na umri ulionao lazima utakuwa umeshapata kwenye akili ,nahitaji jibu ukiulizwa au ukipewa jibu hilo wewe utajibu nini ?Nimekutana na hii problem kama hii most of the time siku hizi najihami kuamkia watu, especially wanaume. Wengi wao wakisema hivi ujue wanakutamani na kukutaka , I think aaaaaaahhhhaaa, hebu wanaume tusaidiane Dada zenu kwa kutufafanulia, looh aaahhhaaaaaaaaa. Thanks.
Sikumbuki Mara ya mwisho ni mwaka gani...nowadays najikuta npo nao kitandan tena sikumbuki nmefika nao vipi na asubui imeshafika...aaaahhh
Unamzeesha wakati ni saizi moja ,nakama kumnyima ,jamani mnajitoa akili kabisa hamuelewi unachoweza kumnyima mbona inaelekea ushamuelewa na umri ulionao lazima utakuwa umeshapata kwenye akili ,nahitaji jibu ukiulizwa au ukipewa jibu hilo wewe utajibu nini ?
Kama yeye ni saizi yangu kwa nini alizaliwa before me lol uhuni tuu unawasumbua watu kama hawa. Halafu kingine wakikuambia Huku wanakutizama nyuma na kifuani ,wengi wao wanakutizama nyuma, hebu mwenye tabia hizi waziache, ni kujitia aibu na kujidharaulisha . Asante .
lazma uangalie mkia kama kondoo kanona au laaa, utanunua kondoo bila kuangalia mkia bhana, si utakuwa zezeta.