Mnategeshah ! Ila kutongoza kuna raha zake,saa ingine unawahi sehemu flani unajua kama hapa lazima mdad yule atakatisha ,ila zile za psi psiiiii huwa siziwezi !Siku hizi wanawake tunajitongesha whatsapp insta full kuvaa nguo za kuvutia ---- hips boobs! Lazma areply pasipo na swali!
Ila aliniteka maana sikushuka basi mpaka aliposhuka yeye na mimi nikashuka nikajua mpaka anapoingia alikuwa si wakawaida ,yaani akisimama huwezi kujua kaelekea wapi ,mwishowe ulikuwa mzuri tulizoeana sana ,siku ambayo nilikuwa na ahadi nae nilipata safari ya haraka kuelekea Mwanza na ikawa ndio mwisho hatukuonana tena na pale walihama ,labda akisoma hapa anaweza kukumbuka kwa vile mimi nipo hai naamini na yeye yupo hai.mxyuuuuuuuuu nadhani ulikua mkali zaid ya huu...
Sikumbuki Mara ya mwisho ni mwaka gani...nowadays najikuta npo nao kitandan tena sikumbuki nmefika nao vipi na asubui imeshafika...aaaahhh
Ila aliniteka maana sikushuka basi mpaka aliposhuka yeye na mimi nikashuka nikajua mpaka anapoingia alikuwa si wakawaida ,yaani akisimama huwezi kujua kaelekea wapi ,mwishowe ulikuwa mzuri tulizoeana sana ,siku ambayo nilikuwa na ahadi nae nilipata safari ya haraka kuelekea Mwanza na ikawa ndio mwisho hatukuonana tena na pale walihama ,labda akisoma hapa anaweza kukumbuka kwa vile mimi nipo hai naamini na yeye yupo hai.
mimi kwenye usafiri wa umma sana sana UDA...
Hebu tieleze kivipi ,ni kubakana tu,maana sielewi kabisa ,inakuwaje hakuna kutongoza,usifananishe mambo ya maguest au madanguru ,itakuwa umejipotezea ,kutongoza kunataka moyo kweli ,mpaka uzoee na ujue njia za kuingilia na kutokea na kuanzia ,maana unaweza ukaambiwa ...ovyooooh...! kumbe hapo unatakiwa jitihada ndogo tu.Siku hizi hakuna kutongozana
Aloo usifanye masikhala ,halafu machangu doa huwa hawatongozwi kwa maneno mengi ya kumtoa nyoka pangoni hawa kwa unyusi tu na mkonyezo wa nguvu basi unapata jibu la kuweka sawa nywele za kihindi ,hao wanaojiheshimu ni lazima timings na kujitenga ni lazima ili akusikilize tatizo lako kwake.Tatizo unatongoza changudoa kwa mwanamke anaejiheshina hawezi simama vichochoroni
Hizo za chini ya miaka 20, nakumbuka enzi hizo unamtongoza binti, yeye anainama chini huku anakula kucha au anachuma majani na kuyachezea, huku akitoa harufu fulani ya kikwapa.
Siku hizi ukiwa unatongoza mwanamke jicho kodo kodo uso kwa uso na mwanaume, usipokuwa jasiri unaweza kuinamisha kichwa chini, yaani hawana aibu kabisaaa!
Hivi unapotongoza
unapendelea kuwepo sehemu gani na akina dada hapo mnapotongozwa
mnapendelea muwepo katika mazingira gani .
Kwa upande wangu mimi napendelea iwe kama tumejibanza ka kwa kona ivi
,au nyuma nyuma za nyumba na halafu mdada awe kama ameegeemea. wa
nainjoy ile mbaya na karbu mara zote naibuka kidedea.
Ila kila mtu na apendavyo ,sijui wengine mnapendelea iweje au kwenye
kuweka date kualikana chai kwa kimgahawa ni vipi yaani hebu tupeni elimu
zaidi !
Kwa kweli nilichanganyikiwa na ile musk aliyoniachia ,nilitaka kujifuta ila nikaona niingie na kuweka gear hapo hapo kwa kumuuliza umejipaka mafuta gani ,nilijuta kumuuliza alitoa mshonyo kama kaona shetani.
Siku hizi hakuna kutongozana
Basi tumegee kidogo ,utupe tofauti hizo za zamani na za sasa, ila taratibu !
Napenda_pale_nnapofikia_hatua_ya_kuforce_na_kumtia_huruma_demu...
Pale_huwa_najiona_nna_kipaji_cha_Sanaa_asee!!!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Mambo ya smart phone! hayo.
ivi ukimsalimia mtu shikamoo akajibu- unataka kuninyima nn huwa ana maana gan?
Dah nakukumbusha 1947 ,hapo ndio ulikuwa kigori leo ni 2014 ,hih ? kumbe kizere ,haya unafanya nini humu mmu mtumzima wewe ila mi huwa nawadondokea sana vizere vinakuwa na kauzoefu flaniflani hivi kwa luga ya kigeni wanakuwa na experience ,mambo hayapatikani kwa hawa tulionao !Siri yangu Lol aaaahhhhaaaa. Asante kwa kutukumbusha mwaka 47. Thanks!