Mmejibanza kwa kona? Nyuma ya nyumba?? Duuuuh!!!...
Hivi unapotongoza unapendelea kuwepo sehemu gani na akina dada hapo mnapotongozwa mnapendelea muwepo katika mazingira gani .
Kwa upande wangu mimi napendelea iwe kama tumejibanza ka kwa kona ivi ,au nyuma nyuma za nyumba na halafu mdada awe kama ameegeemea. wa nainjoy ile mbaya na karbu mara zote naibuka kidedea.
Ila kila mtu na apendavyo ,sijui wengine mnapendelea iweje au kwenye kuweka date kualikana chai kwa kimgahawa ni vipi yaani hebu tupeni elimu zaidi !
Style za kupumulia hizo ,afu basi ikiingia kwenye shimo ndio unapapasa pa kukamata usije eti ukaanguka ,aloo siku moja niliangukia kwenye kwapa ,unajua mdada alikuwa si wa kawaida jinene nene kavaa zile nguo zao wanazozipenda makwapa wazi ,niliyajua yote hayo baada ya basi la uda yale maikarus kufunga brake za ghafula basi pua yangu ilijishindilia kwenye kwapa na lilikuwa limeroa kwa joto ,si unajua mabasi ya mjini yanavyojaa ,kilichoendelea hata sikujua ni kitu gani ni balaa tu!mimi kwenye usafiri wa umma sana sana UDA...
Style za kupumulia hizo ,afu basi ikiingia kwenye shimo ndio unapapasa pa kukamata usije eti ukaanguka ,aloo siku moja niliangukia kwenye kwapa ,unajua mdada alikuwa si wa kawaida jinene nene kavaa zile nguo zao wanazozipenda makwapa wazi ,niliyajua yote hayo baada ya basi la uda yale maikarus kufunga brake za ghafula basi pua yangu ilijishindilia kwenye kwapa na lilikuwa limeroa kwa joto ,si unajua mabasi ya mjini yanavyojaa ,kilichoendelea hata sikujua ni kitu gani ni balaa tu!
Mbona mambo bado yapo sana utayaona watu wanaporudi maharusi au kwenye madisco ,kuna jamaa tulimsikia alikuwa analia kabisa ,tulikuwa tunarudi kwenye sherehe za sabasaba,wamebana kwenye guzo ambalo lilikuwa haliwaki taa.Umri mkuu...kila kitu kinaenda na umri
na wakati suka akipiga breki ya kuparamia tuta huku na mimi naparamiaa... hahah ila usiombe kutua kwapani aisee mimi hadi kuna nguo sitaki kuivaa mana nshapakazwa jasho la kwapa zaid ya mara 3 nguo hiyo hiyo..... hope hukuzimia ama kupoteza kumbukumbu mkuu...
Kwa kweli nilichanganyikiwa na ile musk aliyoniachia ,nilitaka kujifuta ila nikaona niingie na kuweka gear hapo hapo kwa kumuuliza umejipaka mafuta gani ,nilijuta kumuuliza alitoa mshonyo kama kaona shetani.na wakati suka akipiga breki ya kuparamia tuta huku na mimi naparamiaa... hahah ila usiombe kutua kwapani aisee mimi hadi kuna nguo sitaki kuivaa mana nshapakazwa jasho la kwapa zaid ya mara 3 nguo hiyo hiyo..... hope hukuzimia ama kupoteza kumbukumbu mkuu...
Kwa kweli nilichanganyikiwa na ile musk aliyoniachia ,nilitaka kujifuta ila nikaona niingie na kuweka gear hapo hapo kwa kumuuliza umejipaka mafuta gani ,nilijuta kumuuliza alitoa mshonyo kama kaona shetani.