Raha ya bodaboda upepo

Afu sku hizi,yani vitoto vidogo vitambi mabox!! Sasa six pack hao si wataiona kwny movie tu?

Hivyo vitambi utapiamlo tuu huo! Maisha yenyewe yalivyo taiti hadi watoto wa kwetu Uswazi hawapiti katika ujana; wanatoka utoto kwenda utu uzima straight!
 
Haha inaskitisha lakn ndo ukweli!! Sasa subiri wawe wakubwa watakavokua wanahangaika kutafuta six pack gym!
 
Kupiga picha watoto wakiwa tupu namna hiyo si kuwatendea haki. There are some crazy paedophiles who can masterbate with children photos. Whoever snapped the poor kids, I guess, must have meant it to be private. It is disgusting how it found its way into Jf.
 
mkuu unanichanganya! jina lako ovyoovyo lakini mbona kila ukichangia unatoa point? keep it flying like air Tz.
 
Hivyo vitambi utapiamlo tuu huo! Maisha yenyewe yalivyo taiti hadi watoto wa kwetu Uswazi hawapiti katika ujana; wanatoka utoto kwenda utu uzima straight!

Hahahaha..kumbeeee! This is new to me!
 
Ina maana wameshindwa kuwapa hata vijikaptula tu??wanawadhalilisha tu na sio vizuri!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…