Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,617
- 2,267
Kalale basi mwenzako anasubiri mpeane utamu ♥Habari wakuu? Ningepeda tujadili kuhusu raha au utamu kama tusemavyo vijana unaoupa au kuhisi wakati wa kujamiiana unatokana na uzuri wa mshirika ulienae au unatokana na hisia zako wewe mwenyewe? mimi naona raha unazopata kwa kiasi kikubwa zinatokana na hisia zako mwenyewe hasa pale unapokaribia kujojoa , ile kusema mtu fulani mtamu kuliko mwengine hili si kweli, muonekano mzuri wa mtu ama mrembo,anavutia, au hata kuvaa vizuri haumfanyi awe mtamu ila hukupa mshawasha kwa kuamsha hisia zako na kukufanya umuhitaji, nahili linaonekana hata kwa wapiga punyeto na wasagaji ambao nao hujisikua raha na kuburudika licha ya kuwa hawana wenza. utamu unao mwenyewe, utamu ni hisia zako.
jinsi alivyojiachia sikwambii!?Kalale basi mwenzako anasubiri mpeane utamu ♥
Unapata wapi nguvu za kuingia Jf wakati utamu unakusubiri? Acha Ukatili mkuujinsi alivyojiachia sikwambii!?
Kujamiana. ..mbona umetumia neno akward sana, au ni mm tu naona hivoHabari wakuu? Ningepeda tujadili kuhusu raha au utamu kama tusemavyo vijana unaoupa au kuhisi wakati wa kujamiiana unatokana na uzuri wa mshirika ulienae au unatokana na hisia zako wewe mwenyewe? mimi naona raha unazopata kwa kiasi kikubwa zinatokana na hisia zako mwenyewe hasa pale unapokaribia kujojoa , ile kusema mtu fulani mtamu kuliko mwengine hili si kweli, muonekano mzuri wa mtu ama mrembo,anavutia, au hata kuvaa vizuri haumfanyi awe mtamu ila hukupa mshawasha kwa kuamsha hisia zako na kukufanya umuhitaji, nahili linaonekana hata kwa wapiga punyeto na wasagaji ambao nao hujisikua raha na kuburudika licha ya kuwa hawana wenza. utamu unao mwenyewe, utamu ni hisia zako.
heshima kwanzaKujamiana. ..mbona umetumia neno akward sana, au ni mm tu naona hivo
Sent using Jamii Forums mobile app
haihitaji papara mkuu.Unapata wapi nguvu za kuingia Jf wakati utamu unakusubiri? Acha Ukatili mkuu
Kitu cha kwanza nimeangalia membership yako...Habari wakuu? Ningepeda tujadili kuhusu raha au utamu kama tusemavyo vijana unaoupa au kuhisi wakati wa kujamiiana unatokana na uzuri wa mshirika ulienae au unatokana na hisia zako wewe mwenyewe? mimi naona raha unazopata kwa kiasi kikubwa zinatokana na hisia zako mwenyewe hasa pale unapokaribia kujojoa , ile kusema mtu fulani mtamu kuliko mwengine hili si kweli, muonekano mzuri wa mtu ama mrembo,anavutia, au hata kuvaa vizuri haumfanyi awe mtamu ila hukupa mshawasha kwa kuamsha hisia zako na kukufanya umuhitaji, nahili linaonekana hata kwa wapiga punyeto na wasagaji ambao nao hujisikua raha na kuburudika licha ya kuwa hawana wenza. utamu unao mwenyewe, utamu ni hisia zako.
imekufanya niniKitu cha kwanza nimeangalia membership yako...
New tunakujaga na mada za kijinga sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitu cha kwanza nimeangalia membership yako...
Yani JF saizi member akiingia tu mpya anaigeuza facebook..New tunakujaga na mada za kijinga sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mpuuzi mpuuzi tu
jadili mada usijadili mtu,New tunakujaga na mada za kijinga sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mpuuzi mpuuzi tu
utanisaidiaje?Badogo=akili ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitafuti mpenzi!?Yani JF saizi member akiingia tu mpya anaigeuza facebook..
Ukitaka kutatua tatizo lazima utafute chanzo cha tatizo sio tatizo lakini mada sio mbaya mkuu tujaze server tujadili mada usijadili mtu,
Kwaiyo?Habari wakuu? Ningepeda tujadili kuhusu raha au utamu kama tusemavyo vijana unaoupa au kuhisi wakati wa kujamiiana unatokana na uzuri wa mshirika ulienae au unatokana na hisia zako wewe mwenyewe? mimi naona raha unazopata kwa kiasi kikubwa zinatokana na hisia zako mwenyewe hasa pale unapokaribia kujojoa , ile kusema mtu fulani mtamu kuliko mwengine hili si kweli, muonekano mzuri wa mtu ama mrembo,anavutia, au hata kuvaa vizuri haumfanyi awe mtamu ila hukupa mshawasha kwa kuamsha hisia zako na kukufanya umuhitaji, nahili linaonekana hata kwa wapiga punyeto na wasagaji ambao nao hujisikua raha na kuburudika licha ya kuwa hawana wenza. utamu unao mwenyewe, utamu ni hisia zako.
Ndo maana hata thread yako ni sawa na ulichoandika.....Sitafuti mpenzi!?
unakubali au unakataa?Kwaiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app