Raha na karaha za WhatsApp

Bora nimpige kuliko nimpe sahani aliyolia mbwa akuuuuu
 
Duh.....labda nisigundue tu umenilishia sahani moja na mbwa!
 

maskini hasira mbaya huo mdomo uliotumik kula chakula kwenye sahani aliyolia mbwa ndo utatumika kumkiss baadae dah
 
Shost yako nayeee hee, ndio nini kumlisha mumewe mate na maudenda ya mbwa?
Kwani dudu ya mumewe ni sabuni kwamba itaisha?
Aaah amuweke tu chini waongee wasileteane magonjwa.
wewe unafaa sana kuwa mke wangu. Nimekupendaje
 
Ndio maana kuna watu wanakufuru na kusema wanawake ni Mashetani.
Ndio nini sasa hii?
Hata nikikukosea nini nikijua moja ya adhabu ulizonfanyia ni hii,
Lazima namimi nitengeneze Kichuri kwa Damu yako.
...mbavu zako.
Ha Haaaaaa......Mkuu come down 😛eace:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…