Ile kauli ya wanawake tunataka usawa ulishaisikia?
dah kumbe wanaume tuna share sahani na mbwa siku hizi
Ndio maana kuna watu wanakufuru na kusema wanawake ni Mashetani.
Ndio nini sasa hii?
Hata nikikukosea nini nikijua moja ya adhabu ulizonfanyia ni hii,
Lazima namimi nitengeneze Kichuri kwa Damu yako.
...mbavu zako.
Aiseee!!!! upo juu!!!

Ha hahaha ha utajuaje sasa
Aisee aombe miungu yake nisigundue ila nikigundua litamfika balaa.Ha hahaha ha utajuaje sasa