Raha na Faida za kuwa single kwa muda mrefu

niko single aisee... ni maajabu sana!

lakini kuna faida wakati mwingine kuwa single, na kuna hasara japo kidogo!

kuulizwa umeamkaje, kubembeleza sijui na madiko diko gani mwisho wa siku umepigwa kibuti, damn...

usawa huu miaka miwili sasa ajira hakuna, bado njemba ina r/ships 3... ni ajabu...

nipo nipo single kwanza...
 
Hauhisi upweke mkuu

na pia navojua mahusiano yanajengwa kuanzia mizizi hadi kuja kupata majani na hayo.majan.yazae matunda ..kwaio kuna upside downs lakini sidhani kwamba yanaweza kua bughuza as u said au labda unifafanulie zaid mkuu kua ni bugza ipi unaweza pata usipokua single
Yaan kuish kwa uhuru bila ya kufuatiliwa ktk mambo kadha wa kadha
 
Niko singo ila sielewi ni kwanini.. je kuna tatizo hapo?
Kwani imetokea tu mkuu?? Au ilisababishwa na nini? Uliumizwa na mtu, au uliamua tu uwe single
au mtu/watu unaowapenda they dont appreciate who you are so they cant love you for who you are,
nini sababu unaona mkuu kati ya hizo nlizosema
 
Nakiri kuumizwa ila sometimes nahisi ulikua ni ujinga wangu mwenyewe, maana nilikua sina uwezo wa kumuacha sababu ya mapenzi yangu kwake.. Almost 5 years nimekua mtu wa kuumizwa na mtu yule yule mmoja.. nilijitoa sana coz nilimpenda mnooo aseeh ila akatumia huo mwanya wa kunifanyia visa na kuniumiza.. aseeh ni story ndefu mno ukilinganisha na miaka yote hio.. Acha tu niwe singo coz kila nikijaribu kuji engage tena naona nitawaumiza binti za watu coz sina mapenz tena, nimejaribu mara kadhaa lakini najikuta ni matamanio tu ya wik moja alafu baada ya hapo si feel chochote!!..
 
Pole sana mkuu. i know how much it pains and i know what am talking about
 
Maisha ya kuwa single kwa mtu ambaye ashawai kuwa na mpenzi ni magumu sana kwasababu ya mazingira kila anapoona wapenz wawili wapendanao wako pamoja basi naye anavuta picha ya uhusiano ambao alikua nao na hatimaye unajikuta unakua na stress mawazo ya kutaka mahusiano yasiyokoma na unajikuta una hasira za mara kwa mara na kujenga mtazamo has kuhusiana na jinsiaa fulani.
 
Hakika mkuu umezungumza jambo la kweli
 
d6aa322eef39e3b29ed86b5f104b6332.jpg
905b033ee89e83e5ddc5e085dac7844e.jpg
70f661a7161888b81962be17f36449b2.jpg
3ce5e25578d46a5ab76b371a54fe3b19.jpg
7af142bc6cb8d1b2ecf125e393b999b9.jpg

That's me
 
Mmmmh kuwa single hapana mi na album ....mapenzi yana raha yake jamani ....nilikaa single mwezi nikaona Kama mwaka hakuna wa kukuuliza umeamkaje, kubembelezwa ,kudekezwa hakuna duuuh usingle hapana
kumbuka hivyo vitu kuvipata ni lazima wallet itumike pia
 
Watu tunatofautiana,wapo ambao kuishi single hakuwapi tabu,wanafurahia maisha ya Uhuru wa kujiamulia mambo mbalimbali bila bughudha ya aina yoyote.
Bali tulip wengi tupo single kwa kukosa partner wa uhakika,tunachelea usumbufu wa players na Heartbreakers. Ni kweli kwamba kuwa single ni ngumu lakini ni ngumu zaidi kudumu ktk mahusiano yasiyo sahihi.
umenena kweli mama wa singeli (kwa sauti ya kizenji)
 
Back
Top Bottom