Raha jipe mwenyewe!!

Kuna watu wapo njema...Nimepisha na kitu kama hii mkoa mmoja kanda ya Kaskazini. Krismasi njema!
Aisee?
Kumbe ni wewe tulipishana that day? Mbona hukunistua chalii angu?
 
Hivi na haya matuta yetu (yasiyo na akili) ya barabarani huwa inayapita kweli?
hahaha! ..... very true ..... inatembea kwenye barabara zipi? maana hizi sports cars huwa ziko chini sana kwa madhumuni ya SPEED
 
Aisee?
Kumbe ni wewe tulipishana that day? Mbona hukunistua chalii angu?
Ulinipita kama nimesimama halafu nilikuwa bado nipo kwenye mshangao,lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…