beibe nasty
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 1,640
- 525
Kwanin uteseke uhangaike njoo leo chitchat upate raha zote unazozikosa majukwaa mengine.. Njoo huku bwana chitchat kisiwa cha msongo wa mawazo huru(stressfree zone).. Utakutana na watu kama wakina Charming Lady,lady furahia,Madame b my sister,Mr Rocky mzee wa mawivu,mabepari ya kihaya wanajijua hapo...jaman na wengine wengi. Mi chitchat ndo nshafika nitoke niende waapi...baelezee na wenzio kwamba ChitChat ndo habari ya mujin kama ya shekhe ponda(joking) hapana chezeiya..
Wasalamu Beibe nasty
Wasalamu Beibe nasty