Ile raha ya mke au mume unapofika kilele ndio raha anayopata teja la madawa ya kulevya anapotumia dawa hizo ,tofauti ni kuwa teja anafaidi zaidi kwani assume ufike kilele kwa nusu saa nzima uwe katika ile hali ya kufika kilele kwa nusu saa yote,badili starehe nawe utumie 30mins upo kileleni tu
hiyo raha huwezi kuifananisha na chochote halaf raha ya jana inatofautiana na ya leo na kwa kila kilele upandacho inatofautiana sa raha ya teja ni moja na haibadiliki halaf raha yake ya dawa wakati huku nyama kwa nyama mahaba matamu
Kuna jamaa alikuwa anasema hakuna kitu kitamu kama asali! Baada ya ubishi mrefu demu mmoja akajitolea kumpa gemu! Basi watu wakafanya experiment! wakamuwekea asali, ili wakati ana do awe anakula asali at the same time!
Mwanzo alianza vizuri kila akipush anachovya kidole kwenye asali then analamba baada ya muda akasahau mdomo ulipo akaanza kujipaka usoni mpaka anamaliza kachafuka asali uso mzima!