Ila ukweli Golikipa wa Azam ana uzito usiofaa kwa Golikipa ndio maana anashindwa kuruka ipasavyo anapopigiwa shuti. Huwezi kumlinganisha na Diarra wa Yanga na Manula wa Simba. Ingawa vigezo vingine yupo vizuri. Hivyo Mzee wangu Rage hakukosea.Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam
Umeandika madudu hasa. Goalkeeper wa Azam kwenye mechi 4 ameruhusu magoli 9 ambayo ni idadi sawa na magoli yote aliyofungwa Manula kwenye mechi 17 za ligi msimu huu.Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu.
Kwanza Azam hawajakosea kumuhitaji Feisal, hivyo ndivyo timu zenye malengo makubwa hufanya, kuhitaji huduma za wachezaji wakubwa wenye uwezo. Huwezi kuwa timu kubwa yenye mafanikio kama hutamani kuwa na wachezaji wakubwa kama akina FEY.
Lakini nirudi kwenye Mada yangu, hivi kweli Rage ninayemjua Mimi anaamini kipa ndio sababu ya Azam kufungwa na Yanga??
Mbona Rage umekuwa msahaulifu mapema kiasi hicho?
Kwani Azam huyu HAKUMFUNGA simba mechi ya Mkondo wa awali tena kipa akiwa ni HUYU HUYU Ahamada?
Na kwanini Rage uitumie Yanga kama kipimo cha ubora wa goal keeper wa Azam, tena katika mechi ya 18 tu ya ligi?!
Mzee wangu umeamua kujizima data!?, mbona ni mwaka wa nne huu Sasa mfululizo Manula anatunguliwa tu na hao Yanga haujawahi KUWA SHAURI simba kutafuta kipa mwingine!??
Huyu wa Azam haujawahi kuuona Ubovu wake isipokuwa kwenye mechi za Yanga tu,
Ukorrrrofi huo Rage!
Kwa ufupi hapa tatizo kwa Azam wala sio Walinda milango, si Ahamada wala Manula kwa Simba, tatizo la msingi ni Yanga kama timu ambayo ina funga yeyote aliyepo mbele yake isipokuwa kwa bahati mbaya kama juzi ilivyokuwa kule Highland Estate.
Keeper WA Azam wala hana hizo shida mnazolazimisha, Itoshe kuwa muungwana wataje Yanga kama tatizo la MSINGI kwa Azam ambayo bado ingali ikijitafuta.
Tatizo ni YANGA mzee wangu wala sio Kipa WA azamView attachment 2460516
Hujaandika facts, weka stats za kipa wa Azam, linganisha na stats za making wengine wa level yake kama wa simba na yanga, then hapo ndio unaweza kutoa conclusion kwamba huyo mzee wa zamani amekurupuka.Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu.
Kwanza Azam hawajakosea kumuhitaji Feisal, hivyo ndivyo timu zenye malengo makubwa hufanya, kuhitaji huduma za wachezaji wakubwa wenye uwezo. Huwezi kuwa timu kubwa yenye mafanikio kama hutamani kuwa na wachezaji wakubwa kama akina FEY.
Lakini nirudi kwenye Mada yangu, hivi kweli Rage ninayemjua Mimi anaamini kipa ndio sababu ya Azam kufungwa na Yanga??
Mbona Rage umekuwa msahaulifu mapema kiasi hicho?
Kwani Azam huyu HAKUMFUNGA simba mechi ya Mkondo wa awali tena kipa akiwa ni HUYU HUYU Ahamada?
Na kwanini Rage uitumie Yanga kama kipimo cha ubora wa goal keeper wa Azam, tena katika mechi ya 18 tu ya ligi?!
Mzee wangu umeamua kujizima data!?, mbona ni mwaka wa nne huu Sasa mfululizo Manula anatunguliwa tu na hao Yanga haujawahi KUWA SHAURI simba kutafuta kipa mwingine!??
Huyu wa Azam haujawahi kuuona Ubovu wake isipokuwa kwenye mechi za Yanga tu,
Ukorrrrofi huo Rage!
Kwa ufupi hapa tatizo kwa Azam wala sio Walinda milango, si Ahamada wala Manula kwa Simba, tatizo la msingi ni Yanga kama timu ambayo ina funga yeyote aliyepo mbele yake isipokuwa kwa bahati mbaya kama juzi ilivyokuwa kule Highland Estate.
Keeper WA Azam wala hana hizo shida mnazolazimisha, Itoshe kuwa muungwana wataje Yanga kama tatizo la MSINGI kwa Azam ambayo bado ingali ikijitafuta.
Tatizo ni YANGA mzee wangu wala sio Kipa WA azamView attachment 2460516
Yule kipa hafaiHujaandika facts, weka stats za kipa wa Azam, linganisha na stats za making wengine wa level yake kama wa simba na yanga, then hapo ndio unaweza kutoa conclusion kwamba huyo mzee wa zamani amekurupuka.
Ahmada haruki,anajibwagaUmeandika madudu hasa. Goalkeeper wa Azam kwenye mechi 4 ameruhusu magoli 9 ambayo ni idadi sawa na magoli yote aliyofungwa Manula kwenye mechi 17 za ligi msimu huu.
Goalkeeper wa Azam hauhitaji kuwa mtaalamu kuona ni overweight na anafungwa magoli kwa kushindwa kuruka akamaliza goli.
Kwanini Simba ilishindwa kupiga shot on target hata moja?Wore tumeona kombe la dunia timu nyingi zimebebwa na makipa Kuna watu wanahoji mbona Simba alipocheza na Azam hakutumia udhaifu wa kipa, ,, wanahoji sidhani kama walitazama Ile mechi kwani kwenye Ile mechi Simba hawakupiga hata shuti moja on target kama wangepiga mashuti hata matatu lazima wangepata goli
Rage anajipendekeza kwa uto kwa vile aliwaanzishia tusi dhidi ya mashabiki na uto wanamsapoti sana hadi leo.Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!
Yaani Kwa mawazo yako ni kwamba kufungwa kwa Azam ilikuwa ni kwa sababu ya Ubovu wa goal keeper, ULIWAKOSEA Azam na unapaswa kuwaomba radhi mzee wetu.
Kwanza Azam hawajakosea kumuhitaji Feisal, hivyo ndivyo timu zenye malengo makubwa hufanya, kuhitaji huduma za wachezaji wakubwa wenye uwezo. Huwezi kuwa timu kubwa yenye mafanikio kama hutamani kuwa na wachezaji wakubwa kama akina FEY.
Lakini nirudi kwenye Mada yangu, hivi kweli Rage ninayemjua Mimi anaamini kipa ndio sababu ya Azam kufungwa na Yanga??
Mbona Rage umekuwa msahaulifu mapema kiasi hicho?
Kwani Azam huyu HAKUMFUNGA simba mechi ya Mkondo wa awali tena kipa akiwa ni HUYU HUYU Ahamada?
Na kwanini Rage uitumie Yanga kama kipimo cha ubora wa goal keeper wa Azam, tena katika mechi ya 18 tu ya ligi?!
Mzee wangu umeamua kujizima data!?, mbona ni mwaka wa nne huu Sasa mfululizo Manula anatunguliwa tu na hao Yanga haujawahi KUWA SHAURI simba kutafuta kipa mwingine!??
Huyu wa Azam haujawahi kuuona Ubovu wake isipokuwa kwenye mechi za Yanga tu,
Ukorrrrofi huo Rage!
Kwa ufupi hapa tatizo kwa Azam wala sio Walinda milango, si Ahamada wala Manula kwa Simba, tatizo la msingi ni Yanga kama timu ambayo ina funga yeyote aliyepo mbele yake isipokuwa kwa bahati mbaya kama juzi ilivyokuwa kule Highland Estate.
Keeper WA Azam wala hana hizo shida mnazolazimisha, Itoshe kuwa muungwana wataje Yanga kama tatizo la MSINGI kwa Azam ambayo bado ingali ikijitafuta.
Tatizo ni YANGA mzee wangu wala sio Kipa WA azamView attachment 2460516
Swali zuri sanaKwanini Simba ilishindwa kupiga shot on target hata moja?
Hiko kizee sipiringi za ubongo zishaota kutu.Nilikuona ukiwa katika hali ya utulivu kabisa ukitamka Kuwashauri Azam eti kwanza watafute goli kipa badala ya kuhangaika na FEY!