baada ya magazeti kuandika kwamba kajiuzuru nimemsikia TBCakikanusha na kusema ataitisha kamati ya utendaji leo saa 12 jioni na Watanzania watalajie maamuzi magumu kama naona siasa sasa ndani ya Simba.Ismael Aden Rage, Mbunge wa Tabora Mjini, Mtu mwenye maneno mengi, mkorofi, mtu asiye na subra, Mtanzania mwenye asili ya Somalia..
Anatakiwa kufanya jambo la busara kuinusuru, Simba Sports Club na Profile yake ya Kisiasa, busara hiyo ni kujiudhuru na kuwekeza akili yake kwenye Siasa za jimboni kwake na chama chake Mkoani Tabora...
Kwenye timu ya Simba Sports club ameshindwa kwenda na kasi ya mchezo..
Mpira wa Africa hakuna asie jua una Fitna na majungu mengi.. Sasa kama unaamua kugombea maana yake una jiamini kua utaweza kupambana na hujuma, fitna na majungu! Rage ameshindwa kupambana anatakiwa kuwahjibika kisiasa..
#RageOut
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Ngassa?Ngasa yupi tena?Maana Ngassa ninayemjua mimi ambaye alitoka Kagera,akaenda Yanga,kisha Azam,na sasa Simba ni tayari ni mchezaji halali wa Yanga.Subiri kidogo amuuze Kapombe, Ngassa, Cholo kisha alete mapro wa bei rahisi ndio atajiuzulu, ni mapema mno kwa sasa. Kwanza ilani ya uchaguzi bado haijakamilika, kuna uwanja wa kisasa Boko kupaka rangi jengo kwa hiyo tumpe muda.
Kwani kishakamilisha uwanja?kuweni na subra awajengee uwanja bhana ee teh teh teh teh teh!
Chezeya somali weye!
Kwa iyo fitina na majungu ya rage zimeshindwa kuongoza simba kama mnavyotaka?
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums