Mwenyekiti wa Club ya Simba na Mbunge wa Tabora Mjini anasema Nchi hii tunaitafuna wenyewe siku tukiimaliza tutafunana wenyewe. Anashangazwa na utajiri wa Wafanyakazi wa Serikali kumilki Geust House Ishirini [20] ukimuuliza chanzo cha mapato ya ujenzi wa miradi hiyo nini hana cha kukupa?
Mfanyakazi wa Serikali anamiki mali kupita Mfanyabiashara.Rage anasema kama Misri na Libya raia wa Nchi hizo wametaifisha Mali za Marais hao,je sisi mbona hatutaifishi mali za watu wanaotuibia mali zetu kama mchezo wa kuuzwa kwa UDA.
Jamani Rage kafunguka kama sio Rage yule wa zama zile za Ndolanga!!!!!Kumbe kifaa.
Nawsilisha.

Mambo kuzidiana. FAT ilikuwa cha mtoto na hata impact yake kwa ustawi wa nchi na watu wake si kama haya anayoyapigia kelele.
<br />Rage anajaribu kuelezea habari ambazo karibia viongozi wote wa serikali ndio tabia zao pamoja na yeye!<br />
Walivyoitafuna FAT yeye na kina Ndolanga