Rage Kawageuza Simba Misukule Yake

Rage Kawageuza Simba Misukule Yake

TinyMonster

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
242
Reaction score
154
Nimeangalia hii video namna Rage alivyokuwa anaongea kwa kejeli jana kwenye mkutano wa Simba hadi akafikia ya kuwaita wanachama mambumbumbu na bado wakaishia kupigana wao kwa wao. Kwa mara ya kwanza nakubaliana na aliesema Rage kawageuza Simba misukule yake anawafanya anavyotaka, anapiga hela za mauzo ya wachezaji na hawana la kumfanya.

 
Last edited by a moderator:
Huyu Rage ni mpuuzi sana,anajifanya baadae kuomba watu radhi
 
mtoto wa mjin huyo chezea m2 anaish posta magorofan! n kwel mikia fc ni mbululaz
 
Mi nilistaafu ushabiki kwa simba sc mpaka huyo mtu anayeitwa mahaRage atakapoondoka hapo
 
Haaahaaa...kuna watu hawastahili hata kujiongoza. Nani kawapa nafasi ya kuongoza wengine? Tusimlaumu Rage. Alipigiwa kura akashinda
 
Dah niliona hiyo jamaa anatukana mania ya watu.kweli niliamini maneno yake simba misukule yake.cjui anajiaminini yule Somali simba badilikeni rage kafanya simba km Mali yake anafanya anachotaka msomali yule
 
RAGE wala si mlaumu tena Mipuuzi ni mianachama ya simba Asante Mungu kwa kuipenda YANGA....DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
yanga msipolipa sita zinu kwa simba msimi huu hamtakaa mlipe...
 
Jua sababu ya uwanachama wako. Mmekuwa makundi kwa kushabikia kiongozi eti upate posho. Maendeleo hakuna. Ujinga mtupu.
 
Anzisha thread nyingine kaka hapa wanaongelea ya Rage kuwageuza Simba misukule.

Hao ndio utawakuta wanaongea peke yao barabarani. Mtu analete topic mpya ndani ya kitu kingine kabisa.
Ndio maana Rage anawakomoa na hamna mwenye ubavu mpaka atoke mwenyewe pale. Atapumzika msimu mmoja wa uongozi na misukule yenye short memory itasahau na baadae ataibuka tena na issue zake kama kawa.
 
Ndo hivyo msomali wenu kasema sasa.!!

Mimi nimenukuu tu!!

Ukimbishia anakutimua uanachama!!
 
Afadhali kuitwa mbumbumbu na kuombwa msamaha kuliko kumpigia mhindi magoti eti aendelee kuongoza.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom