Rafu ukawa jimbo la ubungo

Rafu ukawa jimbo la ubungo

Njema kabisa

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
699
Reaction score
238
Jaman jimbo la ubungo si ameachiwa kubenea kupitia chadema? Mbn kuna mgombea wa cuf anatangaza mkutano leo??? Hii imekaaje wadau
 
acha c.u.f wapambane maana kubenea alikuwa anaandika ufisadi wa lowasa leo gazeti lake limekuwa dodoki la kusafisha ufisadi ule ule alioundika... dhambi ya usaliti inamrudia big up mgombea wa c.u.f
 
Jaman jimbo la ubungo si ameachiwa kubenea kupitia chadema? Mbn kuna mgombea wa cuf anatangaza mkutano leo??? Hii imekaaje wadau

Tunafanya hivyo ili kuogopa kuhujumiwa kama kule mtwara lakini jimbo ni la kubenea teh teh teh UKIWA bhana
 
Back
Top Bottom