Rafikki wa watoto......!!!

Mkuu hayo ni yale ya ndan mnayolala nayo kitandani.? Mbwa wa ulinzi anakaa pembeni anaheahimu hawezi kufanya ivyo
 
Ni jinsi tu mazoea uliyomjengea mbwa wako mkuu. Sisi roitweller wetu a nakaa kwenye sofa na kuangalia muvi kama kawaida japo analala nje
 
Mkuu ki ukweli mbwa wa ulinzi hawezi kuishi ivyo. Mbwa wa ulinzi hatakiwi kuonana na watu yan yeye ni bandani usiku anatoka.

Sasa huyo wa movie analinda kweli mkuu.?
 
Huyu amezoea kushinda home at a nje ya geti hatoki mkuu
 
Huyu sio rafiki wa watoto tu, ni rafiki wa wote awajuao ilimradi tu awe amefunzwa na kutunzwa vyema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…