Rafiki zangu Wadigo, pelekeni watoto shule, formal schooling, zipeni msisitizo kama mnavyo zipa msisitizo "chuo" madrasa

Wakiwa wakubwa watalalamika hawapewi nafasi serikalini
Nani amwache professor na mbobevu amuchua mtu wa madrasa
Ila wakipewa nafasi mnaanza kulalamika udini. Wakifanya biashara zao Allah akawafungulia rizqi zao mnaanza makelele ooh anaendekeza udini katika ajira, ooh sijui mbona anaipendelea Dini yake. Mahasidi wakubwa nyinyi.
 
Biashara ya kufuga majini ?
 
Bila shaka ni maeneo ya tanga kwenye ile dini ilikoenea sana. Cha msingi wapeleke watoto wao kwenye elimu zinazoeleweka kuwa na tija kuliko hayo madrasa, ni abrakadabra tu kujaza watoto ujinga na upuuzi
Hizo "elimu zinazoeleweka" zimewasaidia nini nyinyi? Someni mje kuomba ajira kwa watoto wa madrasa, halafu mkikosa muwalaumu kwa "udini".
 
Wewe ongea hivyo hivyo ila nisikuone katika nyuzi za kumlaumu Bakhresa na Waislam wengine waliofanikiwa kwa "udini". Husda tu ndio zinawasumbua.
It seems you have some sort of mental health problem.
Elimu-dunia ni muhimu Sana ktk dunia ya leo.
Hata huyo Bakhressa uliyemtaja, biashara zake kwa sasa zinaendeshwa na kusimamiwa na watu wenye Elimu-dunia ya viwango vya juu, wala haziendeshwi na watu wenye Elimu ya madrasa tu. Kwanza watu wenye Elimu ya madrasa pekee hawapo kabisa ktk ajira kwenye makampuni yake.
Aidha, hata huyo Bakhressa ana Elimu ya Darasa la nne, na Elimu hiyo ya Darasa la nne siyo Elimu ya madrasa Bali ni Elimu-dunia.
 
Wewe ongea hivyo hivyo ila nisikuone katika nyuzi za kumlaumu Bakhresa na Waislam wengine waliofanikiwa kwa "udini". Husda tu ndio zinawasumbua.
Usinione kwa jf ya waislamu hii? Vipi yule mzee wenu wa tanga alieshikwa na madawa ethiopia mnaenda kutoa lini?
 
Watoto wao watakuja kuuza madafu kama mimi muuza madafu wa Ikulu kama hawatawapeleka shuleni.
 
Kwa Tanga ukiwaacha wasambaa, wengine wote ni taaabu tupu. Mzigua akishapata pesa anaongeza mke wa pili.
 
Maadili ya dini yanahusikaje kwenye maisha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…