Rafiki yangu yuko njia panda nimeshidwa kumsaidia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rafiki yangu yuko njia panda nimeshidwa kumsaidia

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Saint Ivuga, Mar 18, 2011.

 1. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #1
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,815
  Trophy Points: 280
  wakuu JF , Rafiki yangu wa karibu sana na wa siku nyingi yupo kwenye matatizo makubwa . Miezi minne tu baada ya kufunga ndoa na shamrashamra nyingi sana za kukata na shoka .ilibidi atangaze ndoa haraka sana baada ya kugundua kuwa girlfriend wake alikuwa mjamzito , ndugu na jamaa walihudhuria kwenye harusi iliyofanyika kwenye ukumbi mmoja pale sabasaba.
  TATIZO lilianzia last week tr 07.03.2011 baada ya mke wake kujifungua salama kwenye hospital moja inaitwa regency(i dont know iko wapi) mtoto kazaliwa ana macho kama ya wakorea but jamaa alivyonihadithia anadai nyumbani kwao demu kuna wafanyabiashara from asia something like that wamekodisha nyumba nzima wanaishi pale , so jamaa yuko njia panda kachanganyikiwa , na mama yake jamaa anataka kutoa laana kwa mshkaji kapewa 1 week amfukuze huyo msichana but tatizo linakuja kuwa jamaa kafunga ndoa tena kanisani(lutheran), na mwanamke anampango wa kujinyonga (kaahidi hivyo) kasema maisha yake yapo mikononi mwa jamaa manake akifukuzwa hana pa kwenda na yeye anadai hana kumbukumbu za kutembea na mtu wa asia /korean/chinese.
  Na mwanamke mwenyewe ni mzaliwa wa Iringa.
  Nimwemwambia jamaa kuwa sina la kumwambia so aamue mwenyewe.
  "kweli duniani kuna mambo wajameni"
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,700
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  C wakapime kwenye DNA?huyo jamaa naye sasa kazidi sasa anamuuliza mkewe kama aliwahi kudinywa na Mchina hv huyo mkewe ye hana akili akubali mbele ya mumewe kuwa alichakachuliwa na Mchina?inawezekana kweli demu hajagongwa na Mchina labda aliitu100 zile dawa za kurudisha bik*a na jamaa alirefusha uume na dawa za kichina
   
 3. LD

  LD JF-Expert Member

  #3
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Akapime kwanza DNA, baada ya hapo afanye uamuzi sahihi.
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,815
  Trophy Points: 280
  mkuu mtoto angekua ni muafrica/black hapo jamaa asingeshtuka .. Mtoto mwenyewe ana 1 week. But ni mixture fulani hivi either ya kichina/korean, kuanzia nywele rangi ya ngozi na macho ndio yamemaliza kila kitu.
   
 5. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Unalako wewe kwann utaje Iringa halafu na kujinyonga????
  another mume ***** Jf!!!:lol::lol::lol:
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,815
  Trophy Points: 280
  atapimaje DNA na wakati kila kitu kinaonyesha kuwa mtoto sio wake? Yaani no discussion hapo yeye anachoogopa ni huyu mwanamke kutishia kujinyonga na 24 hrs analia tuu.
  So sad!!!:(:(
   
 7. LD

  LD JF-Expert Member

  #7
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Wiki hii ni yao MR hao waume ***** lol!!!
   
 8. k

  kisukari JF-Expert Member

  #8
  Mar 18, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,757
  Likes Received: 1,046
  Trophy Points: 280
  iliyobaki ni dna tu,mtoto akiwa mchanga mara nyengine anakuwa mweupee,baadae huo weupe unafifia,sema hayo macho ya kichina tena mmmh.jibu kamili atalipata kwenye DNA
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,815
  Trophy Points: 280
  Maria ya trying to rise another issue here..haya yamemtokea mshkaji wangu kabisa . Mm mwenyewe ni kamwene. So tunajijua
   
 10. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Unogage mwa Ivuga au se Ivuga???? sa mshikaji wako anasubiri nini kumfukuza huyo binti kwani atakuwa wa kwanza kufa au hakuna waliokufa ebo!!! fukuzia mbali huyo changudoa :smash::smash::smash:
   
 11. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,700
  Likes Received: 418
  Trophy Points: 180
  Bac ni kumpa mtaa na amuambie kabisa kama anataka kujinyonga bac akaliache hilo kinda laké pale Ustawi wa jamìi
   
 12. LD

  LD JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Basi awe tu na utu kidogo, amuache kiume yani, kwa sasa ajifanye kaipotezea hiyo, amuache apate nguvu, na uponyaji ktk hio hali ya uzazi, wakati huo na katoto hako kataendelea kukua na kujionyesha zaidi jama ni kachina/korea then taratibu bidada anaweza akajiondokea tu kwa amani zake na kachina kake.

  Haijalishi analia kiasi gani, ni sasa tu, lkn jamaa akikaa kimya akijifanya halioni hilo atampa muda wa kujifikiria, pole pole nafsi itamsuta tu. Ataomba kuondoka au atoroke mwenyewe.

  So jamaa ajikaze kiume utu hapo, yani anacheza na akili yake tu, mwisho kitaeleweka.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Mar 18, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,446
  Likes Received: 19,815
  Trophy Points: 280
  wanfu ela!! Sasa akimfukuza si atakuwa ameua? Mimi nilitaka kumshauri angoje kama mwezi hivi but mama yake jamaa ndio hataki kuskia kitu.
   
 14. Nsiande

  Nsiande JF-Expert Member

  #14
  Mar 18, 2011
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  My advice: Kitanda hakizai haramu

  Ampokee na kumlea huyo mtoto, she's innocent and that mom in law should butt out of their lives, anatoa laana ya nini yeye msafi ?

  Kama amempenda apende na kila kilicho chake...and lastly fellas tumwogope Mungu on insisting on DNA a scientific proof tht shows whether or not the kid is urs truly...people've been adversely affected especially the kids when results r in their favour and later in life they come to know of it
   
 15. D

  Derimto JF-Expert Member

  #15
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mh!! Semegi we niagusage tu ni sambi sako mwenyewe alafu kule kwetu luponde tunapendaga weupe maana tutachanganyaga rangi baba anigombesagi akiona ni weupe. Jamani napita tu No. Comnt. By semegi yangu iringa mbali!
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Mar 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Mhhhh pressure, pressure

  Cha kwanza huyo jamaa yako achukue holiday
  Aende mbali zanzibar au sehemu kama hizo..
  kwa sababu anahitaji muda kufikiria

  Maana kwa sasa hivi atakuwa na pressure nyingi
  Kutoka kwa watu especially familia...

  Pili yeye ni mtu mzima sasa
  Anatakiwa a make decision za kitu uzima
  anatakiwa ajiulize kama bado anampenda mkeo?
  Na akishafanya DNA na kuona mwana si wake
  Je anataka kuwa mlezi wake?
  Maana si lazima umzae mtoto halafu ndo usema ni wako..
  Na huyo mwanamke aache unafiki
  Na huyo mtoto alimzalia nani kama ye atajinyonga..

  She needs to cut the crap out
  And take responsibility for her actions..
  And she should stop bein so selfish
  think about others..
   
 17. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #17
  Mar 18, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  wakipima ikaonekana mtoto si wake itakuweje
   
 18. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #18
  Mar 18, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Mi mwenyewe najishtukia yule cyo baba yangu ....mana kwa jinsi nilivyofanana na manji au bakresa?! ngoja nikamuulize mama yangu mimi mtoto wa nani halafu nitarudi.
   
 19. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #19
  Mar 18, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,739
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Huyo jamaa yako, asikubali kuendeshwa na mama yake kwa namna hiyo. Anatakiwa kuwa na uwezo wa kuamua bila kulazimishwa na mama yake.

  Mpaka sasa mtoto huyo ni mchanga sana. Nywele na ngozi za vichanga ni vigumu ku-conclude haraka namna hiyo. Na hata macho ya kichina, bado kuna asilimia ndogo ya watu weusi ambao wanaweza kuwa na macho kama yale- with drooping eyelids.

  Kwa ubinadamu, ni bora atoe benefit of doubt. Akaye naye kwa miezi miwili au zaidi, katoto katakuwa kameonyesha rangi halisi. Na wakati huo, hata maamuzi atayafanya akili ikiwa imetulia kidogo.

  Kwa upande mwingine ikija kudhihirika kuwa ni kweli mtoto sio wake, bado anaweza kumsamehe tu. Baada ya kumsamehe anaweza akaishi na huyo mwanamke kwa raha sana na utiifu mkubwa ambao haji kupata kwa mwanamke mwingine. Na hapo akumbuke kuwa hata akioa mwingine, anaweza kulizwa vilevile.
   
 20. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #20
  Mar 18, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 753
  Trophy Points: 280
  Inauma sana kwa kweli, lakini ukifikilia sana haya mambo yapo na hata akimuacha huyo dada bado hata akija kuoa mwingine anaweza kuliwa nje vile vile, so jamaa angalie kwa umakini je anampenda kwa kiasi gani huyu mke wake, na kama mkristo amsamehe mke wake asiangalie ukubwa wa kosa alilofanya. nadhani mke wake hataludia tena huu upuuzi aliofanya.
   
Loading...