Msela mnyaaaa!Kuna demu ambaye tulikuwa Tunapendana naye saana na kwa bahati nzuri na mbaya nilimpiga binti huyo baada ya mimi kumpa mimba binti huyo sikuwa na chaguo lingine zaidi ya kupanga mipango ya kumuoa binti huyo kwa bahati mbaya mimba ile iliaribika . kuaribika kwa mimba hiyo kuliniingiza katika matatizo makubwa upande wa kwao na huyo binti wazazi wake walidai kuwa mimi ndo nilimuwekea madawa mtoto wao mpaka mimba yake ikatoka Nilijaribu kujijitetea lakini ilishindikana mpaka familia yangu walingilia kati mambo ya kaisha kifamilia tulilipa pesa na vitu mbali mbali
Tukawa tumeachana na mwanadada huyo
Baada ya mda leo nimekuja kupewa habari na watu kuwa rafiki yangu wa damu kabisa ndo anataka kumuoa mwanadada huyo
Akili yangu ndo inajiuliza maswali mengi inawezekana jamaa huyo ndo alimuwekea huyu binti dawa katika chakula au vipi
Maana demu alikuwa anafika home anapika chakula kama sipo ananiachia kama nipo tunakula wote
Au walikuwa wanapendana before
Nilivyo pata hayo matatizo huyu bwana alinikimbia kwa kisingizio eti tunaweza kufungwa wote kwa hiyo akaamua kutafuta nyumba yake tulikuwa tuna lala wote kipindi cha nyuma hapo
Na baada ya kuama kwake ule urafiki wake na mimi ulipungua ghafla
Hii ni plan vipi maana sielewi!
Alikuwa anamlia rada demu wakoKuna demu ambaye tulikuwa Tunapendana naye saana na kwa bahati nzuri na mbaya nilimpiga binti huyo baada ya mimi kumpa mimba binti huyo sikuwa na chaguo lingine zaidi ya kupanga mipango ya kumuoa binti huyo kwa bahati mbaya mimba ile iliaribika . kuaribika kwa mimba hiyo kuliniingiza katika matatizo makubwa upande wa kwao na huyo binti wazazi wake walidai kuwa mimi ndo nilimuwekea madawa mtoto wao mpaka mimba yake ikatoka Nilijaribu kujijitetea lakini ilishindikana mpaka familia yangu walingilia kati mambo ya kaisha kifamilia tulilipa pesa na vitu mbali mbali
Tukawa tumeachana na mwanadada huyo
Baada ya mda leo nimekuja kupewa habari na watu kuwa rafiki yangu wa damu kabisa ndo anataka kumuoa mwanadada huyo
Akili yangu ndo inajiuliza maswali mengi inawezekana jamaa huyo ndo alimuwekea huyu binti dawa katika chakula au vipi
Maana demu alikuwa anafika home anapika chakula kama sipo ananiachia kama nipo tunakula wote
Au walikuwa wanapendana before
Nilivyo pata hayo matatizo huyu bwana alinikimbia kwa kisingizio eti tunaweza kufungwa wote kwa hiyo akaamua kutafuta nyumba yake tulikuwa tuna lala wote kipindi cha nyuma hapo
Na baada ya kuama kwake ule urafiki wake na mimi ulipungua ghafla
Hii ni plan vipi maana sielewi!
Yaani ww ndio umeandika point.Watu weusi tuna roho za kichawi Sana
Unaonekana huyo binti hukuwa na mpango naye na humheshim ndio maana unamtambulisha kwetu kuwa ni "dem"
Tamaa yako ilikuwa ni kuona huyo binti anakunyenyekea na kukulilia uendelee nae Ila Kwa kuwa yote yameshindikana na hatesek imebaki unaumia.
Nakushaur ujiue Tu.