Ally Chambas
New Member
- Dec 28, 2015
- 2
- 3
..
....Hospital hawawezi kushauri muachane, hiyo siyo kazi yao.kwani hapo alipokwenda kupima hawatoi ushauri? au mnahisi humu jf ni bora kuliko ushauri wa madaktari? unless ungeandika kua hospitali kashauriwa hivi na hivi na sisi tupate pakuanzia
Bora unge edit ata uo umri kama unataka ushauri vinginevyo labda kama umeamua kuleta awareness kwamba kuna watoto wa shule za msingi nasekondari bado wanaolewaHabari zenu wadau
msaada wa haraka unahitajika.
nina rafiki yangu wa karibu amekuja kuniomba ushauri nini afanye?
ana mwezi mmoja na wiki1 tangu afunge ndoa na binti mdogo wa miaka 15,binti huyu aliambukizwa hiv na mama yake tangu akiwa mdogo,lakn binti huyu hakuyajua haya.kwani mama yake alimficha na hakutaka kumueleza mtu yeyote siri hii.
sasa leo waliamua kwenda maabara kupima u.t.i,walipofika mke akataka apime u.ti,malaria na ukimwi ikabidi jamaa akubali
majibu yalipotoka mke akaonekana ameathirika na virusi vya ukimwi
jamaa alipoona ivo ikabidi apime na yeye,majibu yakaja kwamba hana hiv.
akamuuliza dr.je ikiwa nimeambukizwa ndani ya mwez mmoja na wiki1 hiki kipimo chenu kinaonesha,daktari akamjibu hapana bali kipo kipimo kingine kinachoweza kuonesha ndani ya muda huo,jamaa akapimwa tena akaonekana yupo fit.
sasa amekuja hapa kwangu nipo nae sasa hivi anaomba nimsaidie ushauri nini afanye,anadai mke wake anampenda sana lkn pia anaogopa kuhusu afya yake..nimeshindwa kumshauri chochote nimeona niombe ushauri kwenu kwa kuwa anafuatilia moja kwa moja hapa muweze kumsaidia ushauri.
msaada wenu
Waende hospitali apate ushauri nasaha na jinsi watakavyoishi kama mmoja hajaathirika. Na ataanzishiwa dawa za kufubaza vvu na atakuwa anahudhuria kliniki kwa dawa na vipimoHabari zenu wadau
msaada wa haraka unahitajika.
nina rafiki yangu wa karibu amekuja kuniomba ushauri nini afanye?
ana mwezi mmoja na wiki1 tangu afunge ndoa na binti mdogo wa miaka 15,binti huyu aliambukizwa hiv na mama yake tangu akiwa mdogo,lakn binti huyu hakuyajua haya.kwani mama yake alimficha na hakutaka kumueleza mtu yeyote siri hii.
sasa leo waliamua kwenda maabara kupima u.t.i,walipofika mke akataka apime u.ti,malaria na ukimwi ikabidi jamaa akubali
majibu yalipotoka mke akaonekana ameathirika na virusi vya ukimwi
jamaa alipoona ivo ikabidi apime na yeye,majibu yakaja kwamba hana hiv.
akamuuliza dr.je ikiwa nimeambukizwa ndani ya mwez mmoja na wiki1 hiki kipimo chenu kinaonesha,daktari akamjibu hapana bali kipo kipimo kingine kinachoweza kuonesha ndani ya muda huo,jamaa akapimwa tena akaonekana yupo fit.
sasa amekuja hapa kwangu nipo nae sasa hivi anaomba nimsaidie ushauri nini afanye,anadai mke wake anampenda sana lkn pia anaogopa kuhusu afya yake..nimeshindwa kumshauri chochote nimeona niombe ushauri kwenu kwa kuwa anafuatilia moja kwa moja hapa muweze kumsaidia ushauri.
msaada wenu
Habari zenu wadau