Anajua Kabisa Yule Alikuwa Shemeji... Tena Hata Kesi Ndogo Ndogo Zilizotuhusu, Niliziweka Wazi Kwake Kwa Ushauri Na Msaada Wa Mawazo
Hata Tuliposhindwana Na Huyu Binti!.... Nilimshirikisha ......Na Kwakuwa Nilishavumilia Na Kuchoka Juu Ya Vitimbi Nilivyoangushiwa Na Huyu Binti, Akaafikiana Nami Kuwa Niachane Naye
Baada Ya Miezi Kadhaa......Cha Ajabu Kinachonishangaza Katika Hii Dunia Ni Kumuona Huyu Rafiki Yangu Akiwa Karibu Sana Na Huyu Binti Kwa Kipindi Hiki, Dalili Zinazoashiria Kuna Kitu Kinaendelea......Namaanisha Anamake Love Na Huyu Shemeji Yake
Nifanyeje Jamani?.....Kwani Kaniharibia wikend Yangu
Ahsante Jigo

pole mkuu ila cha muhimu we ni kukubali hta km akija kukutambulisha kwani yoyote ya nyuma utakayoyafikia utaishia kuumia cha msingi ganga yajayo
Pole sana haya mapenzi haya......Achana nao fuata ustaarabu wako huyo hakuwa wako km anaweza kuwa na rafikiyo hawatadumu maana atachukuliwa na mwingine maana inaonekana anajirahisisha
mkuu kinachokuuma ni nini ....nyie si mlimwagana!!! maisha yake yanakuhusu nini wewe.....kwaiyo ulitaka asipendwe tena???
mwanafa.."ukimegewa tafuta mnyonge ummegee haipunguzi maumivu inarudisha hadhi ya kiume..."
WEWE NI MNYONGE
Inauma lakini huna budi kujikaza kisabuni kwa sasa hadi hapo baadae. Malimwengu ndo yalivyo, ukimweleza sana mtu siri za ndani mwako mwisho wa siku yeye atakufanyia mambo kama hayo.
bora Ya Binti Lakini Huyu Rafiki Yangu Naye?!..wakati Niko Nae Alijifanya Kutoiva Na Shemejie, Sasa Mambo Yamenigeuka!