Rafiki yangu kadondokewa na ukuta chooni

Rafiki yangu akiwa ktk starehe ya dunia waswahili wanasema kukata gogo hamadi ukuta wa choo passport size ukashuka na kumkandamiza rafiki yangu huko mbagala ukuta ulivyo shuka na choo kikashuka nacho ni athari za mafuriko ya jiji. Nasema kwamba alikuwa anakata gogo au kimba kwa sababu wkt wasamalia wema wanamwopoa suruali wameikuta magotini na amefariki tunafanya taratibu za kuzika leo.

lol...astaghafirullah,...umenichekesha ilhali ni ya kusikitisha haya bana...aaaahhh
kifo cha furaha? hapana, ni ahadi yake tu hiyo...mw'mungu amrehemu. AMEN
 
Dah! Poleni sana. Ila fidel na wewe una visa kama vya kina marytna na nazjaz.
 
lol...astaghafirullah,...umenichekesha ilhali ni ya kusikitisha haya bana...aaaahhh
kifo cha furaha? hapana, ni ahadi yake tu hiyo...mw'mungu amrehemu. AMEN

Wanasema ati nae siku ilifika
 
Mh kweli hicho si kifo kizuri, na kinaskitisha japokuwa unakifanya kisound funny, Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom