View attachment 2942328
Habari!
Kwa maelezo hayo kama ulivyosema inaonekana ametumia Ciproflocacin inje., Salbactum injectio.(probably Ampiclox+Salbactam au Ceftriaxone+ Salbactam)..
Amoxyclav,Fluconazile,Itraconazole,Azythromycin,Dox,Griseofulvin na zingine..
My Concern:
Dawa ulizotumia/alizotumia ni dawa Bora sana kwa matibabu ya Bacteria na Fungus namaanisha Broad-Spectrum antibiotics pamoja na Broad-Spectrum Antifungal..
Mpaka nimeona kuna Third generation cephalosporing zimetumika sana, na hakuna matibabu au Kupona kuliko Fikiwa..
Ushauri wangu:
- Onana na Daktari wa Mfumo Mkojo urologist Kwa mfano kwa Dar es salaam kuna Hospitali inaitwa MDM Urology Specialized Hospital..Watakusaidia kutambua Maambukizi hayo njia ya Mkojo na kuyatibu pale inapowezekana..
- Pili Fanya culture and sensitivity na Mkojo ili kujua hasa Ni nini kinachokusumbua na kujua Dawa gani ni sahihi kwako..
- Fanya Skin culture "Probably inafnywa kwa Hospitali za magonjwa ya ngozi ili kujua hasa shida nini
ILi kugundua hasa shida ni nini licha ya kutibiwa kwa miaka mitatu na dawa Zenye ngumu na kushindwa kuondoa tatizo..
Shukrani
CC:
classic1988