Pearl ni lulu, za asili zinatoka baharini kwenye chasa na za kutengeneza pia zipo.
Lulu zina thamani na mahali pekee nadhani unaweza kuzipata kwenye maduka makubwa yanao uza fashion/ mapambo ya wanawake ya dhahabu na almasi labda Mlimani au online.
Angalia pia kuna kutapeliwa kirahisi - lazima ujue ununue pahali panapo aminika sababu zinafanana sana na shanga kubwa