Rafiki yangu anaelements za ushoga

Rafiki yangu anaelements za ushoga

mzee wa murano rafiki wa mwizi ni mwizi na mwizi ni rafiki wa mwizi
 
mhudumu wale wa full tank wanapaki wapi
 
Kwa sisi tuliosoma literature zaman dhamira ya andiko hili ni kutujulisha kuwa. 1 una nissan murano. 2 una rafiki mwenye range. 3 unaendaga kupata cocktail kwenye longue za hali ya juu.

4 wewe ni mtamu kama mcharo kiasi kwamba hata wanaume wenzako wanakutamani. Ulichosahau ni kuwa hapa ni JF home of GT who think critical.
 
Topiki ya kipuuzi kabisa hii. Sasa hii topiki yako ina umuhimu gani hapa JF?

Hii ni comment ya kijinga sana kuwahi kutokea hapa ulimwenguni! hii comment yako inafaida gani hapa au inaliongezea taifa mapato kiasi gani!
 
Kwa sisi tuliosoma literature zaman dhamira ya andiko hili ni kutujulisha kuwa. 1 una nissan murano. 2 una rafiki mwenye range. 3 unaendaga kupata cocktail kwenye longue za hali ya juu. 4 wewe ni mtamu kama mcharo kiasi kwamba hata wanaume wenzako wanakutamani. Ulichosahau ni kuwa hapa ni JF home of GT who think critical.

hahahahaha! Freedom Of Speech
 
Hongera kwa rafiki ako kumiliki range na wewe Murano, pia kumbe kila unachoongea na washikaji huwa unamuambia mke wako?? hilo limekushinda kusema, sema tu!!
 
WA KISHUA hebu nipe namba ya huyo jamaa mi nishatafuna wengi sana wa dizaini hiyo, na hivi ana pesa aisee namtamanije? nitampelekea Moto mpaka afurahi na roho yake.
 
mkuu umeacha space kubwa nikajua umeweka picha weka picha bana
 
Back
Top Bottom