Rafiki yangu anaelements za ushoga

WA KISHUA

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
365
Reaction score
130
Ama kweli ukistaajabu ya Musa, utayaona ya firauni, Kwa ufupi nina rafiki yangu mmoja ambaye tumeoa kabila moja ila yeye ni mfanyabiashara mkubwa sana.

Anatembelea Range Rover Autobiography 2014 plus mabusinness na mabiashara mengine kibao anayomiliki.Sasa picha lilianzia pale I.T Plaza kuna Lounge moja inaitwa High Spirit, nilikuwa nimekaa nae pale tunapiga stori huku tukishushia na cocktails.

Taa nyekundu ilianza kuita kichwani kwangu baada ya huyu jamaa kuniambia anatafuta mwanamke wa kupumzika nae japo kwa saa chache pale Hyatt ambapo alikuwa ameshachukua room.

Mimi nikamjibu haiko matata, ila sina muda mwingi nitamuacha sababu wife alishaanza kuleta sababu za kunitaka nirudi nyumbani, mara oohh!! mtoto joto limepanda, nikawa nimemjibu hivyo.

Lakini akaendelea kushkilia uzi wake kwmb anataka huyo mwanamke akienda kulala nae shida yake yeye ni kufanya kinyume na maumbile.

Yani mpaka naandika hapa nacheka, yani yeye hataki kumtafuna huyo mwanamke atakayempata, bali yeye ndio anataka afanywe yeye kinyume na maumbile

Mwanzoni nilidhani kama ananiletea masihara au utani lakini alipoendelea kushkilia uzi wake huo ndio Ngachokaaaaa kabisa, ikabidi mimi nimuache pale niingie kwenye Murano yangu yeye nikamuacha pale akivizia mwanamke wa kumpata ili aende akamtimizie haja yake hiyo.

Wakati nikiwa narudi niliwaza sana, why ameniambia vile au kitu gani kimemsukuma mpk akaamua kujiweka wazi vile,basi nikapotezea hata wife sijajaribu kumuambia hicho kitu maana angeweza hata kuzimia kwa jinsi anavyomuheshimu huyu jamaa.

Binafsi namchukulia huyu friend wangu ni shoga na nataka nianze kukeep nae distance kabisas, au nyie wenyewe mna maoni gani juu ya mtu kama huyu.












 
Mkubwa, hapa swali ungejiuliza ni kwanini kapata ujasiri kwa kufunguka issue nzito kama hiyo kwako, labda na wewe umemuonyesha dalili flani labda bila kufahamu au kwa makusudi (no disrespect). Ila kama uko clean mzee sigidi-sepa tu ukae nae mbali asikuambukize hizo mambo.

On another note, nice rides man
 
Kidume alidhani mim obama akaniachia nikapiga!
 
Topiki ya kipuuzi kabisa hii. Sasa hii topiki yako ina umuhimu gani hapa JF?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…