Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,493
- 21,453
wanataka kuaminisha dunia kua Korea kaskazini ni kama jehanam sasa Rodman kawaonesha kua jamaa mtu safi tu hana noma na mtu.yeaah eti mtu kaenda kimichezo alafu wanamuuliza ishu za kisiasa,eti mambo ya freedom,siunajua tena wamarekani wanajifanyaga wao ndo viranja wa dunia,self righteous bulshit
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.